You are on page 1of 9

Chapeni kazi

Toleo No.14 Limesambazwa kwa Taasisi na Idara zote MEM Tarehe Mei 2-8, 2014

nMaswi ameahidi kuboresha mazingira ya kazi


HABARI KAMILI SOMAUK4

Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Eliakim Maswi

Ofisi ya Mawasialiano Serikalini inapokea habari za matukio mbalimbali


kwa ajili ya News Bullettin hii na Jarida la Wizara ya Nishati na Madini
Wasiliana nasi kwa simu No 0783 553203 au Fika Ofisi ya Mawasiliano Ghorofa ya Tano (MEM)
Barua pepe: badra77@yahoo.com
2 |  MEM News Bulletin

NISHATI

Tanzania kuwa nchi ya kipato cha kati 2025 ALHAMISI


Na Greyson Mwase,
Ujerumani
Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Kongamano hilo lilikutanisha
kuhakikisha kuwa wananchi wanakuwa
na maisha bora, Prof. Muhongo alisema 1/05/2014

T
wadau mbalimbali ikiwa ni pamoja na kuwa serikali kupitia Wakala wa Nishati
anzania inatarajiwa ku- mabalozi, wataalamu na wafanyabiashara Vijijini (REA), imeanza juhudi za SIKUKUU YA
WAFANYAKAZI
ondoka kwenye kundi la mbalimbali ambapo Profesa Muhongo kupeleka umeme kwenye vijiji vyote kwa
nchi masikini na kuhamia alipata nafasi ya kuwasilisha mada awamu tofauti tofauti.
kwenye kundi la nchi zenye kuhusiana na fursa zilizopo katika sekta “Hatuwezi kusema kuwa nchi
kipato cha kati ifikapo ya gesi, mafuta na madini. imeendelea wakati wananchi wa vijijini
mwaka 2025. Kauli hiyo imetolewa na Profesa Muhongo alisema ili Tan- hawana umeme, na katika kutambua
Waziri wa Nishati na Madini Mhe. zania iweze kupiga hatua kimaendeleo hilo serikali imeweka nguvu nyingi ku-
Prof. Sospeter Muhongo alipokuwa inahitaji uwekezaji mkubwa kwenye hakikisha kuwa nishati ya umeme inapa-
akifungua kongamano mjini Berlin nishati ambayo ndiyo yenye mchango tikana vijijini na kuchochea maendeleo.”
mkubwa katika ukuaji wa uchumi. Alisisitiza Profesa Muhongo.

FIVE
nchini Ujerumani wiki iliyopita wakati
wa kuadhimisha Jubilee ya miaka 50 ya Akielezea juhudi za serikali katika

PILLARS
OF
REFORMS
INCREASE EFFICIENCY
QUALITY DELIVERY
OF GOODS/SERVICE

SATISFACTION OF
THE CLIENT

Tanzania na Ujerumani kuimarisha SATISFACTION OF


BUSINESS PARTNERS

ushirikiano wa kiuchumi SATISFACTION


BODI OF
YA UHARIRI
SHAREHOLDERS
Na Greyson Mwase, ulenge kwenye masuala ya uchumi endelea duniani kama China ni MHARIRI MKUU
Ujerumani zaidi ili Tanzania iweze kupaa uwekezaji katika elimu ya sayansi Badra Masoud
kiuchumi. na teknolojia MSANIFU

T
Profesa Muhongo alisema Profesa Muhongo aliwataka Essy Ogunde
anzania imetakiwa kuwa imefikia wakati uchumi wawekezaji walioko nchini Uje- WAANDISHI
kuimarisha ushirikiano wa Tanzania unatakiwa ukue rumani kujitokeza kwa wingi na Asteria Muhozya
wa kiuchumi na Ujeru- kulingana na idadi ya watu na kuwekeza Tanzania kwani ni nchi Greyson Mwase
mani ikiwa ni pamoja kuongeza kuwa sekta ya nishati yenye fursa nyingi za kiuchumi
na kujipanua kiuchumi na madini ni mhimili mkubwa wa hususani katika sekta ya nishati na Teresia Mhagama
badala ya kutegemea misaada ukuaji wa uchumi wa nchi. madini. Nuru Mwasampeta
kutoka kwa wahisani mbalimbali. “Ili nchi yoyote iweze kuen- Aliongeza kuwa Tanzania ni
Wito huo umetolewa na Wa- delea kiuchumi duniani inahitaji nchi yenye amani , uongozi bora
ziri wa Nishati na Madini Profesa nishati ya umeme ambayo inaweza tofauti na nchi nyingine za Afrika
Sospeter Muhongo alipokuwa aki- kuvutia uwekezaji mkubwa.” Ali- na kuwahakikishia kuwa zipo
hutubia kwenye maadhimisho ya sisitiza Profesa Muhongo. sheria bora katika usimamizi wa
jubilee ya miaka 50 ya Muungano Aidha, Profesa Muhongo sekta hizo.
wa Tanganyika na Zanzibar. aliongeza kuwa nchi ya Tan- Akizungumzia manufaa ya ku- Alisisitiza kuwa mara baada
Profesa Muhongo alisema zania inahitaji elimu bora kwa gundulika kwa gesi nchini Profesa ya kukamilika kwa mradi huo
kuwa umefika wakati wa Tanzania wanafunzi wake ili kupiga hatua Muhongo aliongeza kuwa gesi gesi itakayozalishwa itatumika
kutumia rasilimali zake hususani kiuchumi na kueleza kuwa katika asilia iliyogunduliwa Mtwara na majumbani, kwenye magari,
gesi iliyogunduliwa hivi karibuni kutambua hilo, Serikali kupitia Lindi imekuwa kivutio kikubwa ikiwa ni pamoja na kuzalisha
ikiwa ni pamoja na madini ili Wizara ya Nishati na Madini katika mikoa hiyo. umeme wa kutosha ambapo wa
kujiimarisha kiuchumi ili kuweza imeweka mkakati wa kuhakikisha Profesa Muhongo alisisitiza ziada utauzwa kwa nchi za jirani.
kujitegemea badala ya kutegemea shule zote hususani za msingi na kuwa kugundulika kwa gesi asilia “ Kwa mfano tunaamini
misaada tu kutoka kwa wahisani. sekondari zinapatiwa umeme ili kumepelekea uwekezaji mkubwa kuwa gesi itakayotumika ma-
Profesa Muhongo aliongeza kuweka mazingira bora ya wana- katika mikoa hiyo ikiwa ni pamoja jumbani itaepusha matumizi ya
kuwa uhusiano kati ya Tanza- funzi kujifunza. na ujenzi wa kiwanda kikubwa cha mkaa ambapo inakadiriwa kuwa
nia na Ujerumani ni wa muda Profesa Muhongo aliongeza simenti cha Dangotte unaoende- matumizi katika jiji la Dar es
mrefu na wenye historia nzuri kuwa elimu bora inatakiwa iwe lea mkoani Mtwara na kiwanda Salaam ni magunia 50,000 kwa
na kusisitiza kuwa sasa imefikia inayoendana na teknolojia na kingine cha simenti kinachojen- siku.
wakati ushirikiano huo unatakiwa kusisitiza kuwa siri ya nchi zilizo- gwa Lindi.
MEM News Bulletin | 3

MADINI

Wahandisi TANESCO

waokoa bil. 12.7


Na Mwandishi Wetu Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kuanza
kufua umeme kibiashara Julai 30, 2007 kwa
husafirishwa kutoka Songo Songo ambapo hu-
punguzwa mpaka bar 5 ambazo huingia kwenye

W
ahandisi na Mafundi Mchundo wa Kituo kushirikisha Wahandisi wazawa wa TANESCO mashine kwa ajili ya kufua umeme.
cha kufua umeme kwa kutumia gesi asilia na WARTISILA. Ili kuhakikisha kuwa mashine hizo zipo
cha Ubungo Gas Plant 1, wamefanikisha Kituo cha Ubungo (1) kilijengwa ili chini ya uangalizi madhubuti, Mhandisi Mban-
ukarabati mkubwa wa mitambo ya Kituo kuongeza vyanzo vya kufua umeme ili kuondoa gula alisema wafanyakazi wahandisi na mafundi
hicho bila kutumia mkandarasi wa nje au wa ndani na utegemezi wa maji. Kituo kinafua umeme kwa mchundo walipata mafunzo kwa wakati mradi
hivyo kuokoa kiasi cha TZS bil. 12.7 ambazo zinge- kutumia gesi asilia kutoka visiwa vya Songo unajengwa nchini Finland, Singapore na Italia.
lipwa kama kazi hiyo ingetangazwa zabuni. Songo wilaya Kilwa Mkoani Lindi chini ya Kwa upande wake Mkuu wa kitengo
Akizungumzia mafanikio hayo Meneja wa Kituo usimamizi wa kampuni ya PAN AFRICA. cha uendeshaji mitambo Mhandisi Abdallah
hicho, Mhandisi Ambakisye Mbangula alisema Wah- Jumla ya shilingi bilioni 99.45 zilitolewa na Abeid alisema mitambo hiyo inaendeshwa kwa
andisi na Mafundi Mchundo hao wameweza kufanya serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania teknolojia ya kisasa kwa kutumia mifumo ya
ukarabati mkubwa katika mashne hizo za kufua umeme kwa ajili ya ujenzi wa kituo hicho na mwaka kompyuta na iwapo itatokea hitilafu yoyote
baada ya kufanyakazi kwa saa 16,000. 2006 mitambo ilianza kufungwa na kampuni ya katika mitambo huonekana katika komputa.
Kituo hicho chenye uwezo wa kufua umeme wa WARTSILA kutoka Finland. Pia mitambo inaweza kuzimwa ama kuwashwa
kiasi cha megawati 104, kilikabidhiwa TANESCO “Kituo kina mashine 12, kila mashine moja kwa kutumia komputa. Aliwataka watu wenye
baada ya mkandarasi kumaliza mkataba wake wa kuki- inauwezo wa kufua megawati 8.73. Mashine mawazo kuwa TANESCO inafanya kazi
jenga Desemba 04, 2011. zote zinauwezo wa kufua jumla ya megawati 104. kizamani kubadili mitazamo yao kwani Shirika
Kumbukumbuku zinaonesha kuwa mkandarasi Baada ya mradi kukamilika yalifanyika majaribio linaendana na teknolojia za kisasa.
alishawahi kufanya ukarabati mkubwa kwa gharama katika mitambo ambapo zilipatikana mega- Naye Afisa Rasilimali Watu wa kituo hicho
ya Euro 460,150 sawa na shilingi za kitanzania wati 102 ambazo kituo kinazalisha hadi sasa Bi. Getrude Chandika kuna jumla ya wafan-
1,056,981,037.2 kwa mashine moja. Hivyo kwa mash- ikiwa ni pungufu ya megawati 2, upungufu huo yakazi 55, kati yao wanaume ni 47 na wanawake
ine zote 12 mkandarasi angelipwa pesa ya kitanzaia unatokana na umbali kutoka usawa wa bahari, nane. Wapo pia wafanyakazi wa muda maalum
12,683,772,446.4 sawa na euro 5,521,800. joto pamoja na unyevunyevu” alieleza Mhandisi (STE) sita ambapo watano ni wanaume na
Mhandisi Mbangula alisema kituo hicho kilizindu- Mbangula. mmoja mwanamke.
liwa rasmi Novemba 04, 2008 na Mheshimiwa Rais wa Kiasi cha bar 50 mpaka 70 cha gesi

Bomba la Gesi mkombozi wa Tanzania


Na Mwandishi Wetu kukamilika, nchi ya Tanzania itaweza kupiga Lindi na Mtwara na kuanza kwa mradi wa umeme.

I
hatua kimaendeleo kwa kasi kubwa. bomba la gesi kumepelekea wawekezaji kuji- “Kwa mfano umeme wa upepo unatara-
li kuhakikisha kuwa nchi inaondokana Akizungumzia faida za mradi huo tokeza ikiwa ni pamoja na ujenzi wa kiwanda jiwa kuzalishwa mkoani Singida, vyanzo hivi
na adha ya mgawo wa umeme ikiwa ni Profesa Muhongo alisema kuwa gesi itakayo- cha simenti cha Dangotte kitakachokuwa na vingine vitasaidia mikoa ambayo iko nje
pamoja na kuvutia wawekezaji nchini, zalishwa itatumika majumbani, viwandani, kikubwa Afrika Mashariki. ya gridi ya taifa kupata umeme.” Alisisitiza
serikali inaendelea na ujenzi wa mradi kwenye magari ikiwa ni pamoja na kuzalisha Alisema kuwa mnamo Oktoba 25, Profesa Muhongo.
mkubwa wa bomba la gesi kutokea Mtwara umeme wa kutosheleza nchi na mwingine mwaka jana serikali ilizindua vitalu saba Profesa Muhongo aliwataka wawekezaji
hadi jijini Dar es salaam. kuuzwa kwenye nchi za jirani na kuliingizia vipya katika maji ya kina kirefu cha bahari ya kuwekeza nchini Tanzania kupitia sekta za
Waziri mwenye dhamana na sekta ya pato taifa Hindi na kitalu kimoja Kaskazini mwa Ziwa gesi, mafuta na madini na kuwahakikishia
Nishati na Madini nchini Tanzania Mhe. Prof. “ Kwa mfano mara baada ya kuzalisha Tanganyika vya utafutaji wa mafuta na gesi kuwa zipo sheria zinazotoa mwongozo juu ya
Sospeter Muhongo alibainisha hayo kwenye gesi ya kutosha na kuondokana na changa- na kuwataka wawekezaji kuchangamkia fursa usimamizi thabiti ikiwa ni pamoja na sheria
kongamano lililofanyika hivi karibuni mjini moto ya upungufu wa umeme wa kutosha hiyo ya kuomba vitalu kwa kufuata masharti ya petroli ya mwaka 2008, sheria ya umeme
Berlin, Ujerumani wakati akiwasilisha mada kulingana na mahitaji makubwa ya wananchi, yaliyowekwa kabla ya Mei 15, mwaka huu. ya mwaka 2008, sera ya gesi asilia ya mwaka
kuhusiana na fursa za uwekezaji nchini husu- umeme wa ziada utauzwa kwa nchi jirani Profesa Muhongo aliongeza kuwa 2013, sheria ya gesi ambayo bado ipo katika
sani katika sekta ya gesi, mafuta na madini. kama Kenya na Ethiopia.” Aliongeza Profesa mbali na umeme wa maji na mafuta Wizara maandalizi na mpango kabambe wa matumizi
Profesa Muhongo alisema kuwa ujenzi Muhongo imeweka pia mkazo katika vyanzo vingine vya ya gesi asilia ambao bado uko katika hatua za
huo unatarajiwa kukamilika mwishoni mwa Profesa Muhongo aliendelea kusema umeme kama makaa ya mawe, upepo, nishati mwisho za maandalizi.
mwaka huu ambapo mara baada ya mradi huo kuwa kugundulika kwa gesi katika mikoa ya jadidifu kama njia mojawapo ya kuongeza

MUHIMU KUZINGATIA

Renewable Energy Biofuel

Renewable Energies Bioenergy


4 |  MEM News Bulletin

ZMOs, RMOs wakisaini mikataba ya utendaji


Na Mwandishi Wetu

K
atibu Mkuu wa
Wizara ya Nishati
na Madini, Eliakim
Maswi amesema
Wizara inafanya kila
juhudi kuhakikisha inawawezesha
Makamishna wasaidizi wa Kanda
na Maofisa wa Madini wa Mikoa
ili waweze kutekeleza majukumu
yao ipasavyo ikiwemo kukusanya
maduhuli kulingana na viwango
walivyopangiwa.
Katibu Mkuu Maswi alisisitiza
hayo wiki iliyopita katika Mkoa wa
Morogoro wakati alipokuwa aki-
sainiana Mkataba na Maofisa hao
wa kutimiza malengo ya kukusanya
maduhuli kama walivyopangiwa.
“Hatustahili kupongezwa
kwa kushindwa kufanya kazi bali
nasisitiza kwamba tutawapongeza
wote wanaofanya kazi kwa bidii
na kazi yao ikaonekana kama viatu
tunavyokupa havikutoshi sema,”
alisema Maswi.
Alisema iwapo nafasi za uon-
gozi za Idara, vitengo, Kanda na
Mikoa walizopewa baadhi ya watu-
mishi wakiona hawaziwezi waachie
ngazi ili wapewe wengine.
Naye Kamishna wa Madini,
Mhandishi Paul Masanja aliwataka
viongozi walio katika Idara ya
Madini hususan Makamishna wa-
saidizi wa kanda pamoja na Maofisa
wa madini wa mikoa kuzingatia
ukusanyaji wa maduhuli pamoja
na kuhakikisha wanatambua na
kuyafuatilia madeni.
Masanja aliwataka Makamish-
na Wasaidizi kuhakikisha wanafuta
leseni zote za uchimbaji madini
ambazo wahusika waliomba leseni
lakini hawafanyi uchimbaji huo na
kutaja leseni za mfanyabiashara
maarufu ajulikanaye kwa jina la
‘Mjomba Mjomba’.
Amesema lazima taratibu za
ujazaji wa leseni zifanywe kwa
njia ya mtandao ifikapo Julai Mosi
mwaka huu na maombi yote ya
leseni yaende sambamba na malipo
ya ankara za mwezi.
Mhandisi Masanja alisema
lazima Makamishna wasaidizi
wa Kanda na Maofisa Madini wa
Mikoa kuweka muda maalum wa
mwombaji wa leseni kuchukua
leseni hiyo na akichelewa kuichu-
kua ifutwe na kusisitiza kutatuliwa
kwa migogoro ya madini kwenye
maeneo mbalimbali.
Aidha, aliwataka maofisa hao
pia kukagua viwanda vyote vinavyo-
tumia madini ya kuongeza thamani
huku wakifuatilia kwa karibu
mirabaha inayotolewa na Makam-
puni makubwa ya uchimbaji madini
ili kubaini kama haki inatolewa kwa
usawa.
Mhandisi Masanja aliwaagiza
maofisa hao kwamba watumie njia
za kisasa na za haraka za mawasilia-
no na wateja wao ili wawe wanatu-
miwa taarifa mbalimbali ikiwamo
kwa njia ya Ujumbe mfupi, barua
pepe n.k.
MEM News Bulletin | 5

kazi na ukusanyaji wa maduhuli


Watakaoshindwa
kutimiza
malengo
kuachia ngazi
6 |  MEM News Bulletin

NISHATI/MADINI

Prof. Muhongo congratulates Lebbi Chengulla


Institutions, would like to The main objective of EAPP is co- Burundi, Ethiopia, Sudan, Egypt and
congratulate Eng. Lebbi ordination of planning, development and Botswana.
Mwendavanu Changulla operation of the interconnected system of His vast knowledge of the
on his new appointment as the national grid to ensure power security Power Sector was accelerated by his
Secretary General of the East in the region. participation in various Study Tours,
Africa Power Pool (EAPP). Lebbi Mwendavanu Kisitu Workshops and Meetings in and
Eng. Lebbi M.K. Changullah was born 27 March, 1955 outside the country when he repre-
Changulla was appointed as in Mwatasi Village, district of Kilolo sented TANESCO and the country
a new Secretary General of in Iringa Region. In 1978 he went to as a whole.
the EAPP during 9th East the Soviet Union for a scholarship at “We really congratulate Eng.
Africa Power Pool (EAPP) Lumumba University where in 1984; Lebbi Changulla for this achieve-
Conference of Ministers he graduated his Masters Degree in ment and wish him all the best in his
(COM) held on the 25th Mechanical Engineering. new office”.
April, 2014 at Addis Ababa, Upon return to Tanzania in October
Ethiopia. The meeting 1984, he joined TANESCO in the
attended by the Ministers re- Planning Department as a Planning
sponsible for electricity affairs Engineer. In 1987 he went to US to The main objective of
from countries of Burundi, study Engineering Economics and EAPP is coordination
Egypt, Ethiopia, Kenya, Energy Planning at the University of of planning, develop-
Rwanda, Sudan, Tanzania Pennsylvania – Philadelphia. Since then ment and operation
and Uganda. to date, he has been working in the same
of the interconnected
system of the national
The EAPP is a regional department where he was now working grid to ensure power
Secretary General of the East Africa
Power Pool (EAPP). Eng. Lebbi M.K.
organization established in as Manager of Strategic Planning. security in the region.
Changulla 2005 by ten Eastern Africa During his employment period,
countries, namely; Burundi, he attended training in several courses
Democratic Republic of Congo related to Power Sector- specializing
By our Reporter (DRC), Egypt, Ethiopia, among others on Project Management,

T
Kenya, Libya, Rwanda, Sudan, Tanzania Generation and Transmission Plan-
he Minister for Energy and Uganda. In further development, ning and preparation of Power System
and Minerals, Hon. Prof. EAPP is adopted as specialized institu- Master Plans in the countries of Canada,
Sospeter Muhongo, the tion for power system interconnectivity Sweden, Norway, Denmark, Brazil,
entire Management, staff by the Common Market for Eastern and South Africa, Ghana, Togo, Benin,
of the Ministry and its Southern Africa (COMESA). Kenya, Rwanda,

nMwenyekiti Edmund Mkwawa


Na Mwandishi rugenzi ya Wakala kana na kukidhi sifa
wetu Dar es wa Nishati Vijijini husika Mheshimiwa
Salaam, (REA) kutoka Taa- Prof. Sospeter M.

W
sisi zisizo za kiseri- Muhongo (Mb)
kali (NGO), Sekta amemteua Bw.
azi- Binafsi na washiriki Edmund P. Mkwawa
ri wa Maendeleo kwa kuwa Mwenyekiti
wa kipindi cha miaka wa Wakurugenzi
mitatu kuanzia wa Bodi ya Nishati
Nishati na Madini tarehe 1 Aprili, 2014. Vijijini.
Mheshimiwa Prof. Aidha, uteuzi wa Wakala wa
Sospeter Mwijarubi wajumbe hao umez- Nishati Vijijini uli-
Muhongo (Mb) ingatia Sifa muhimu pitishwa kwa Sheria
ameteua wajumbe zinazotakiwa kwa ya Bunge Na. 8 ya
wa Bodi ya Waku- wajumbe wa Bodi. mwaka 2005
Vilevile, kuto-
MEM News Bulletin | 7

MATUKIO KATIKA PICHA

Waziri wa Nishati na Madini Profesa Picha ya pamoja ya Mawaziri wanaoshughulika na masuala ya nishati ya
Sospeter Muhongo (Mb) akibadilishana umeme baada ya mkutano wa tisa wa nchi wananchama wa Jumuisho la
mawazo na Balozi wa Heshima wa Umeme katika nchi za Mashariki ya Afrika. Pamoja nao ni watendaji wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania jijini Taasisi zinazoshughulika na masuala ya umeme kutoka katika nchi za
Hamburg Petra Hammelmann. Kulia ni Burundi, Tanzania,Misri, kenya, Rwanda, Sudan, Unganda na Ethiopia.
mume wa balozi huyo Bw.Bertold Zink.

Timu ya wataalamu kutoka Tanzania


waliohudhuria sherehe hizo wakiwa katika
picha ya pamoja na Balozi wa Tanzania
Nchini Ujerumani Mhe. Philip Marmo Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo (Mb.) (kushoto)
Balozi Marmo afurahishwa akiingia katika ukumbi wa Deustche Bank uliopo Berlin, Ujerumani kabla
ya kuzindua rasmi sherehe za Jubilee ya Muungano wa Tanganyika na
na Kongamano Ujerumani Zanzibar. Kulia ni balozi wa Tanzania Ujerumani Mhe. Philip Marmo.
Na Greyson Mwase, Ujerumani

Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani Philip Marmo amefurahishwa


na kongamano lililofanyika mjini Berlin, Ujerumani kama moja ya
maadhimisho ya Jubilee ya miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika
na Zanzibar.
Vilevile Balozi Marmo amempongeza Waziri wa Nishati na
Madini Profesa Sospeter Muhongo kwa kuwasilisha mada kwa
ufasaha iliyopelekea wajumbe kupata uelewa mpana wa fursa
zilizopo katika sekta za nishati, madini ikiwa ni pamoja na utafutaji
wa gesi na mafuta nchini Tanzania.
Balozi Marmo alisema kuwa Tanzania imekuwa ni mfano wa
kuigwa kwa kuwa na amani na utawala bora na kuungana na Zanzi-
bar na kudumisha muungano huo kwa miaka 50 hivyo kuwa mfano
wa kuigwa kwa nchi nyingi za kiafrika.
“Viongozi mbalimbali wa mataifa ya Afrika walijitahidi sana
kuunganisha mataifa hayo lakini ilishindikana lakini kwa sisi Tanza-
nia tulifanikiwa, kitu ambacho si chepesi.” Alisisitiza Balozi Marmo.
Balozi Marmo aliutaka muungano huo kuimarishwa mbali
na kuwepo kwa changamoto kwa vyombo vya kimataifa kutoripoti
mafanikio ya muungano huo.
“Vyombo vingi vya kimataifa vimekuwa vikiripoti taarifa hasi
kuhusiana na mataifa ya Afrika kama vita, njaa mfano Somalia, Mali,
lakini yale mazuri kama Muungano wa Tanganyika na Zanzibar
hayaandikwi.” Alisema Balozi Marmo. Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo (Mb) (Wa-
Balozi Marmo alivitaka vyombo vya habari kuripoti hata yale pili kutoka kulia) akizungumza na baadhi ya wajumbe waliohud-
mazuri ya nchi za Afrika ikiwa ni pamoja na fursa za uwekezaji huria sherehe hizo
zilizopo nchini Tanzania.
Madini yana mchango
mkubwa kwa taifa
UJUMBE WA
Na Mwandishi wetu Dar es Salaam,

M
adini yana mchango mkubwa kwa taifa la

WAZIRI WIKI HII


Tanzania tofauti na dhana potofu iliyokuwepo
kuwa hayana mchango wowote.
Kauli hiyo ilitolewa na Waziri wa Nishati
na Madini Profesa Sospeter Muhongo kwenye
kongamano lililofanyika mjini Berlin, Ujerumani ambapo
aliwasilisha mada juu ya fursa za uwekezaji zilizopo nchini
hususani katika sekta za gesi, mafuta na madini.

MAMENEJA WA
Kongamano hilo lilifanyika kama moja ya madhimisho ya
jubilee ya miaka 50 ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar
na kuhudhuriwa na wadau mbalimbali ikiwa ni pamoja na

TANESCO KANDA wahadhiri, wafanyabiashara, na mabalozi.


Profesa Muhongo alisisitiza kuwa sekta ya madini kama

NA MIKOA
mchango wake imewezesha barabara, na huduma nyingine za
kijamii kufanikiwa.
“ Kwa mfano barabara nyingi nchini Tanzania zimejengwa
katika kiwango cha lami, bado kuna huduma nyingine za kijamii
FANYENI KAZI KWA zimeboreshwa, haya yote ni michango ya sekta ya madini.”
USHIRIKIANO NA UONGOZI Alisema Profesa Muhongo
Alismea kuwa Tanzania imejaliwa kuwa na madini ya kila
WA MKOA, aina chini ya dunia na kuna maeneo mengi sana ambayo madini
WILAYA,HALMASHAURI NA VIJIJI. NA- hayajachimbwa bado na kuwataka wawekezaji kuwekeza katika
sekta hiyo.
SISITIZA PIA Profesa Muhongo aliendelea kusema kuwa serikali imean-
MUWAPELEKE NA KUWATAMBULISHA daa ramani za kijiolojia na kuwataka wawekezaji kujitokeza kwa
MAKANDARASI WA MIRADI YA wingi na kuchangamkia fursa hiyo.
Aliongeza kuwa ili kuinua sekta ya madini serikali ime-
REA KWA VIONGOZI HAO. kuwa ikifanya juhudi mbalimbali ikiwa ni pamoja na kuimarisha
Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) na kuwawezesha
wachimbaji wadogo.
“Kwa mfano hivi majuzi tumetoa ruzuku ya dola za
kimarekani 500,000 kwa wachimbaji wadogo ambao tunaamini
wana mchango mkubwa sana katika pato la taifa.” Alisisitiza
Profesa Muhongo.
Profesa Muhongo aliongeza kuwa serikali inawakaribisha

Wizara kuwanoa wataalam


wawekezaji kwa mikono miwili kuwekeza katika sekta ya ma-
dini ikiwa ni pamoja na kutoa ushirikiano wa kutosha ili kujenga
uchumi na kudumisha uhusiano kati ya Tanzania na Ujerumani.
Alisema kuwa suala la rushwa halina nafasi katika

wengi wa gesi, mafuta


uwekezaji na kuwataka wawekezaji hao kujitokeza na kuwekeza
kwa kuwa fursa ni nyingi.
Alitaja sheria zinazosimamia sekta ya madini ni pamoja
na sheria ya madini ya mwaka 2010, sheria ya ulipuaji baruti ya
mwaka 1963, sheria ya usimamizi wa mazingira ya mwaka 2004,
sheria ya kodi ya mwaka 2004 na nyinginezo.

Na Greyson Mwase, mafunzo ili kuzalisha imekuwa ikidhamini


Serikali kuwa makini na
Ujerumani wataalamu wataka- wanafunzi wanaosomea
usimamizi wa rasilimali zake

S
oweza kusimamia masuala ya gesi na ma-
erikali ya vyema sekta hizo pasipo futa katika chuo kikuu
Tanzania ku- ubabaishaji. cha Dodoma na vyuo Na Greyson Mwase, Ujerumani

S
pitia Wizara Profesa Muhongo vingine nje ya nchi.
ya Nishati alisema katika hatua ya Aliongeza kuwa erikali imetakiwa kuwa makini katika usimamizi
na Madini awali Serikali imekuwa ili kuhakikisha kuwa wa rasilimali zake hususani gesi iliyogunduliwa hivi
imewekeza zaidi kwa ikipeleka wataalamu watalamu wa kati karibuni. Akichangia mjadala uliofanyika kwenye kilele
kuzalisha wataalamu katika mafunzo ya (technicians) ha- cha maadhimisho ya jubilee ya miaka 50 ya Muungano
watakaoweza kusimam- muda mrefu ya shahada waachwi nyuma, Chuo baina ya Tanganyika na Zanzibar yaliyofanyika mjini
ia vyema sekta mpya ya ya uzamili katika vyuo cha Madini kilichopo Berlin Ujerumani mhadhiri kutoka chuo kikuu cha Dar es
gesi na mafuta vikuu vilivyopo ndani Dodoma kimeanza salaam Profesa Palamagamba Kabudi alisema kuwa sekta za ma-
Akijibu swali la na nje ya nchi. kutoa mafunzo hayo dini, nishati ikiwa ni pamoja na gesi iliyogunduliwa hivi karibuni
mjumbe kwenye mjada- Aidha, Profesa katika kiwango cha zikisimamiwa ipasavyo zinaweza kuleta maendeleo na kuifanya
la uliofanyika kwenye Muhongo aliongeza Diploma. nchi kuondoka kwenye orodha ya nchi masikini duniani
kilele cha maadhimisho kuwa tayari chuo ki- “Juhudi zote Hata hivyo Profesa Kabudi alisema kuwa iwapo sekta hizo
ya miaka 50 ya Muun- kuu cha Dar es Salaam zinafanywa na serikali zitasimamiwa vibaya bila kuwa na uwazi zinaweza kupelekea
gano wa Tanganyika na ikiwa na Chuo Kikuu kuhakikisha kuwa in- nchi kwenye machafuko na kusababisha uchumi kushuka.
Zanzibar huko Berlin, cha Dodoma vimeanza azalisha wataalamu wa “Tanzania tumejaliwa kuwa na rasilimali nyingi mno,
Ujerumani, Waziri kutoa kozi ya masuala kutosha kwani ndio husasan hii gesi nyingi iliyogunduliwa ambazo ni kivutio
wa Nishati na Madini ya gesi na mafuta ili msingi mkubwa wa kikubwa cha wawekezaji, rai yangu ni kwa serikali kuwa makini
Profesa Sospeter kuongeza watalamu maendeleo ya teknolo- mno vinginevyo nchi inaweza kuwa ya machafuko kama
Muhongo alisema, kwa katika sekta hiyo. jia; bila utaalamu katika Kongo.” Alisisitiza Profesa Kabudi
kutambua umuhimu wa Profesa Muhongo nchi yoyote duniani hai- Aidha Profesa Kabudi aliitaka serikali kushirikiana na
sekta ya gesi na mafuta, alisema kuwa seri- wezi kuendelea kamwe, nchi washirika katika kusimamia rasilimali hizo ili ziweze kuleta
serikali kupitia Wizara kali kupitia Wizara wanasayansi wanahi- maendeleo.
imeweka mkazo katika ya Nishati na Madini tajika sana.” Alisisitiza

WIZARA YA NISHATI NA MADINI


Imetolewa na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
Wasiliana nasi kwa simu No 0783 553203 au Fika Ofisi ya Mawasiliano Ghorofa ya Tano (MEM)
Barua pepe: badra77@yahoo.com
MEM News Bulletin | 9

Viongozi wa Dini Lindi,Mtwara wahudhuria mafunzo Thailand


Na Teresia Mhagama niaba ya Katibu Mkuu wa Wizara gesi asilia katika masuala mbalim- kujenga uelewa wa pamoja kuhusu

J
ya Nishati na Madini, Mkurugenzi bali ya kiuchumi na kuhakikisha sekta hiyo nchini.
umla ya Viongozi 19 wa Dini wa Utawala na Rasilimali Watu wananchi wanafaidika na uwepo Pamoja na kujifunza masuala
kutoka Mikoa ya Lindi na katika Wizara hiyo, Bw. Mrimia wa gesi hiyo. ya gesi asilia na mafuta nchini
Mtwara wamekwenda nchini Mchomvu alisema kuwa Wizara ya Naye mjumbe wa Halmashauri Thailand, viongozi hao watapata
Thailand kwa ajili ya ziara ya Nishati na Madini imeratibu ma- Kuu ya Taifa ya Baraza Kuu la fursa ya kutembelea eneo maalum
mafunzo katika masuala ya funzo hayo ili kujenga uelewa kwa Waislam Tanzania (BAKWATA), la viwanda ambalo ukuaji wake
gesi asilia na mafuta. viongozi hao ambao nao wataitu- Sheikh Said Sinani akiongea kwa umetokana na kuwepo kwa gesi
Ziara hiyo inatokana na juhudi mia elimu hiyo katika kuwaelimi- niaba ya viongozi hao wa dini asilia, Shirika la Umma linaloji-
za serikali katika kuhakisha elimu sha wananchi kuhusu sekta ndogo waliokwenda nchini Thailand, shughulisha na masuala ya Gesi
kuhusu masuala ya gesi asilia na ya gesi asilia nchini ili kujenga aliishukuru Serikali kwa kuona na Mafuta, Mamlaka ya Uzalishaji
mafuta inatolewa kwa wananchi uelewa wa pamoja utakaowafanya umuhimu wa kushirikisha viongozi Umeme, Mamlaka ya Usambazaji
wa kada mbalimbali ili waweze wananchi kushiriki na kuwa na wa dini katika masuala mbalimbali Umeme, mtambo wa kuzalisha
kufahamu mchakato mzima mtazamo chanya kuhusu miradi ya kitaifa. umeme unaotokana na Tunga-
wa upatikanaji wa gesi asilia na mbalimbali ya gesi asilia nchini. Alisema kuwa viongozi hao wa motaka (Biomass), mtambo wa
mafuta, faida zake katika nyanja za Bw. Mrimia Mchomvu alieleza dini watahudhuria mafunzo hayo umeme wa jua, na mtambo wa
kiuchumi na kijamii, changamoto kuwa Serikali imeamua kuwapele- kwa umakini mkubwa na baada ya umeme wa Bayogesi.
zake na namna nchi nyingine ka viongozi hao nchini Thailand kupata uelewa mpana kuhusu gesi Viongozi hao wa Dini kutoka
zinavyotumia rasilimali hiyo katika kwa kuwa nchi hiyo imepiga hatua asilia na mafuta kutoka nchi ny- mikoa ya Lindi na Mtwara wa-
kukuza uchumi. kubwa kimaendeleo kutokana na ingine, watakuwa mabalozi katika natarajia kurejea nchini mnamo
Akiwaaga viongozi hao kwa kujipanga vizuri katika kutumia kutoa elimu kwa waumini wao ili tarehe 07 Mei, 2014.

Mkurugenzi wa Utawala
na Rasilimali Watu Wizara
ya Nishati, Bw.Mrimia
Mchomvu (kushoto)
akiongea na Viongozi
wa Dini kutoka mikoa ya
Lindi na Mtwara waliofika
Makao Makuu ya Wizara
ya Nishati na Madini,
kabla ya kuanza ziara ya
mafunzo ya gesi asilia na
Mafuta nchini Thailand.
Kushoto kwa Mkurugenzi
wa Utawala na Rasili-
mali Watu ni Mkurugenzi
Msaidizi, Idara ya Sera
na Mipango katika Wizara
ya Nishati na Madini, Bw.
Maseke Mabiki,

Baadhi ya Viongozi
wa Dini watakao-
hudhuria mafunzo
kuhusu Gesi asilia
na Mafuta wakim-
sikiliza Mkurugenzi
wa Utawala na
Rasilimali Watu
katika Wizara ya
Nishati na Ma-
dini, Bw. Mrimia
Mchomvu (hayupo
pichani).

You might also like