Professional Documents
Culture Documents
TAFADHALI KUWA MAKINI KWA UNAWEZA UWA MODEM YAKO
SOMA MAELEZO YOTE NA UELEWE KABLA YA KUANZA PROCESS
MIMI SITAHUSIKA NA UHARIBIFU WOWOTE UTAKAOJITOKEZA
Jinsi ya Ku Flash E173 customized za Airtel/Tigo
Step I: Installation of QPST
Anza ku install QPST.2.7.378. Ikimaliza usiifungue.
Step II: Obtaining Port of Modem
Then Chomeka modem yako, weka line ambayo haikubaliki ktk hiyo modem, itatokea dashboard na
error kuwa huwezi tumia hii simcard click ok na exit hiyo dashboard hakikisha unaifunga kabisa.
Sasa nenda Device Manager> Ports locate modem yako kisha soma COM port yake
PREPARED BY GKIWANGO : GKIWANGO@HOTMAIL.COM 1
Procedure for Flashing Huawei E173/E153 Modem
Step III: Adding port to QPST
1. Sasa search ile software ulio install QPST na fungua QPST configuration
Start Menu > Programs> QPST
PREPARED BY GKIWANGO : GKIWANGO@HOTMAIL.COM 2
Procedure for Flashing Huawei E173/E153 Modem
2. Then click add new port, ile ulio iiangalia katika device manager
PREPARED BY GKIWANGO : GKIWANGO@HOTMAIL.COM 3
Procedure for Flashing Huawei E173/E153 Modem
3. Uncheck "Show serial and USB/QC Diagnostic Ports only. ili zionekane port zote na uione yako kisha
Ichague na click ok.
PREPARED BY GKIWANGO : GKIWANGO@HOTMAIL.COM 4
Procedure for Flashing Huawei E173/E153 Modem
4. Kama umechagua port sahihi then lazima utona imeandikwa hivi
PREPARED BY GKIWANGO : GKIWANGO@HOTMAIL.COM 5
Procedure for Flashing Huawei E173/E153 Modem
Step IV: Creating Backup of NVI items/Restoring the NVI Items
1. Kisha angalia juu kwenye Tabs na chagua Start Clients then chagua Software Download
PREPARED BY GKIWANGO : GKIWANGO@HOTMAIL.COM 6
Procedure for Flashing Huawei E173/E153 Modem
2. Sasa uhai wa modem yako unategemea hii stage tafadhali kuwa makini sana. Click Back up tab
kisha click browse kulia kwako na uchague location ambapo itasave backup yako, then click start
na iache imalize ku backup. Kumbuka kuhakikisha imemaliza salama na Backup yako (.qcn) ipo ktk
location uliyochagua kabla ya kuendelea na stage zinazofuata. Kufikia hapa awamu ya kwanza
itakuwa imeisha, Chakufanya ifunge kabisa QPST kabla ya kuendelea.
PREPARED BY GKIWANGO : GKIWANGO@HOTMAIL.COM 7
Procedure for Flashing Huawei E173/E153 Modem
Step V: Connecting to Internet and Getting Started with Huawei Flasher
1. Sasa connect Computer yako Internet kwa kutumia simu au modem ambayo sio Huawei, hata kwa
njia nyingine kama ipo.
2. Then Fungua Huawei Modem Flasher, Ifungue na angalia kushoto kwako na chagua COM port ya
Modem yako, ushofu utaona COM port ni tofauti but utaona imeandikwa “3G PC UI interface”
PREPARED BY GKIWANGO : GKIWANGO@HOTMAIL.COM 8
Procedure for Flashing Huawei E173/E153 Modem
3. Then Click Read Modem Info Tab. Itasoma modem information na itasema OK ikimaliza, kama
itaandika FAIL ujue una tatizo katika Internet au modem yako haijaunganishwa vizuri au modem
inatumika na sehemu nyingine.
PREPARED BY GKIWANGO : GKIWANGO@HOTMAIL.COM 9
Procedure for Flashing Huawei E173/E153 Modem
Step VI: Selecting Firmware
1. Sasa angalia katika tabs za juu na chagua "Select Firmware" Then chagua extract from EXE.
Itafunguka window, sasa locate firmware ambayo ipo folder ulilo extract kabla file nilio
ambatanisha, "E1731Update_11.126.15.00.00.B416" Then itaonyesha kama ifuatavyo
2. Uncheck 05.bin kama hivi
PREPARED BY GKIWANGO : GKIWANGO@HOTMAIL.COM 10
Procedure for Flashing Huawei E173/E153 Modem
Step VII: Flashing The Modem
1. Sasa rudi katika tabs juu na sasa chagua tab "Flash Modem" then chagua "Normal Mode" , Subiri
kidogo then kuna kibox kitatokea click OK, Baada ya modem kuingia katika Download mode (Yani
subiri kama sekunde 10 hivi)
2. Sasa subiria wakati firmware mpya ikiwekwa katika modem yako
PREPARED BY GKIWANGO : GKIWANGO@HOTMAIL.COM 11
Procedure for Flashing Huawei E173/E153 Modem
3. Kumbuka lazima utapata error katika 07.bin, Hiyo ni kawaida wala usiogope. Subiri kidogo then
itakuwa imemaliza, close hiyo Huawei Modem Flasher
Step VII: Finalizing
1. Sasa chomoa na chomeka modem yako. Utaona haina uwezo wa kukamata tena network kwa
sababu imepoteza IMEI so inabidi tufanye restore. Kufanya restore Rudia zile step III & kwa
kufungua QPST configuration then add com port, Halafu tunaenda software download, lakini
badala ya ku click backup tab, click restore tab.
2. Then click browse na chagua backup file tulilotengeneza mwanzo. Then click Start na acha i
restore, Baada ya muda mfupi itakuwa imemaliza.
PREPARED BY GKIWANGO : GKIWANGO@HOTMAIL.COM 12
Procedure for Flashing Huawei E173/E153 Modem
3. Ikimaliza unaweza funga QPST, then chomoa na chomeka modem yako. Kama utakuwa umefuata
step zote kwa umakini modem yako E173 itakuwa Permanently Unlocked na unaweza tumia
mtandao wowote sasa. Kumbuka IMEI imerudi ile ile kama mwanzo.
PREPARED BY GKIWANGO : GKIWANGO@HOTMAIL.COM 13
Procedure for Flashing Huawei E173/E153 Modem
Jinsi ya Ku Flash E153 customized za Airtel/Tigo
Ku unlock E153 steps ni kama za e173 Lakini kuna changes Kidogo tu kama hivi
Step III
Kipengele cha 4 yenyewe itaanza na SURF6246
Step VI
Kipengele
1. Chagua Firmware ya E53 Kutoka ktk folder la E153 badala ya firmware ya E173
“E153Update_11.609.18.00.00.B427”
2. Uncheck 06.bin badala ya 05.bin
Step VIII
Kipengele cha 3 utapata error katika 08.bin badala ya 07.bin
Vingine fanya kama E173 na nina hakika utafanikiwa.
HITIMISHO
Ukifanikiwa usisite kutoa Feedback na pia kama utapata shida yoyote ile sema. Nitumie email
gkiwango@hotmail.com
Note:
1. Njia ni salama kabisa nimesha unlock modem nyingi na zinapiga mzigo kama kawaida. Kumbuka
kuwa makini kwani unaweza uwa modem yako moja kwa moja.
2. Pia ni vizuri ukawa na uhakika na power source ya computer kabla ya kuanza step VII kwani
nimeshapokea ripoti ya mtu modem yake kuwa Bricked baada ya Power kuwa Interrupted.
3. Mimi sitahusika na uharibifu au tatizo lolote litakalojitokeza Just Risk Yourself.
TAFADHALI USIFANYIE BIASHARA HIZI NJIA ZA KU UNLOCK MODEM, KAMA
UTAAMUE KUMSAIDIA MTU MSAIDIE BURE KAMA MIMI NILIVYOZITOA BURE.
PREPARED BY GKIWANGO : GKIWANGO@HOTMAIL.COM 14