Professional Documents
Culture Documents
1. UFAHAMU
a) Ufisadi 1 × 1 = 1
b) i) Utamaduni
ii) Dhana za kikabila 2×1=2
c) Ndiyo mzawa wa matatizo yote ya kiutawala.1 × 2
d) i) Mwenye maono
ii) Mtetezi 2×1=2
e) i) Jazanda – ufisadi kurejelewa kuwa donda.1 × 2
ii) Donda linatandaza mbawa zake kwenye 'taasisi takatifu' zinazopaswa kuupinga
ufisadi. 1 × 2 = 2
f) Uasi wa tamaduni za kiafrika
Kuegemea mifumo ya kizungu 2×1=2
g) i) Mhimili - nguzo / tegemeo / iliyoimara al. 1
ii) Taasisi – kituo maalum cha kustawisha / kutoa mafunzo. al. 1
Adhibu sarufi popote patokeapo makosa na usiadhibu zaidi ya nusu alama aliyopata
mwanafunzi.
Hijai – hadi makosa sita
2. UFUPISHO
a) – Nchi nyingi duniani zimetia saini mkataba wa umoja wa mataifa kuhusu haki za
watoto
- Kuhakikisha kuwa hakuna ukiukaji wake katika himaya zao.
- -Haki hizi ni kupata chakula bora
- -Elimu isiyotolewa ada
- Kutopigwa na kutodunishwa
- -Kutolazimishwa kufanya kazi za kiutumwa au kushurutishwa
- -Kuishi katika nyumba au makazi bora
- Kulindwa dhidi ya madhara yoyote
- Kushirikishwa katika maamuzi
- Kupata huduma za kiafya
- -kuheshimiwa kimawazo na kihisia
- Haki hizi zinastahili kulindwa na wanajamii
- Serikali kushirikisha haki hizi katika katiba za nchi zao. (zozote 8x1=8 )
- (utiririko 2 )
b) –Serikali kuhakikisha kuwa watoto wote wako shuleni
-Watu wote kushirikiana kukomesha dhuluma
--Miswada kuhusu watoto kupelekwa bungeni na kupitishwa kuwa sheria.
- Kubadilisha misimamo yetu kuhusu haki hizi na kuzilinda upasavyo ( 4x1=4)
(utiririko 1 )
3. MATUMIZI YA LUGHA/ SARUFI
a) Eleza sifa bainifu za sauti /j/. (alama 2 )
-Kipasuokwamiza/Kipasuo
-Kaakaagumu
-Ghuna
b) Ni mkazo unaowekwa kwenye silabi Fulani ya neon ili neno hilo liweze
kuleta maana yake halisi. (alama 2).
KN KT
N N U N T T KN
N
Bakari Roda na Hirsi wamefurahi
kupita
mtihani
(alama 4)
i. Amri
Wingi wa wahusika (alama 2)
k. i) La - lisha
ii) Nywa – nywisha /nywesha
iii) Fa- fisha (alama 3)
M. Utepetevu (alama 1)
N. wa- a unganifu
kuliko –kulinganisha.
O. Wananchi wote wanaosumbuliwa na majambazi wameletewa askari kituoni ili
wawalinde. (alama 3)
P. Magombe/ majigombe manono yatachinjiwa wachezaji. (alama 2)
Q. i) W- (kiwakilishi ) (alama 2)
ii) N – ( nomino )
R. Mchwa (alama 1)
4. ISIMU JAMII
i) Ni chombo cha mawasiliano cha binadamu ambacho hutumia ishara na sauti zilizo na
mpangilio maalum.
- Ni mfumo wa sauti ambazo zimebuniwa na jamii katika mawasiliano.
(alama 1X 2)
ii. -Lugha moja kuonewa hadhi na isiyoonewa hadhi kufifia.
-Sababu za kiuchumi yaani watu huishi mijini na kuacha lugha ya kwanza.
-Lugha kuwa na idadi ndogo ya wazungumzaji.
-Ndoa za mseto
-Kuhamia kwingine yaani watu kuishi na kuingiliana na kundi jingine.
-Mielekeo ya watu hasa wanapoipendelea lugha moja na kuidharau nyingine.
-Kisiasa lugha moja kupendelewa kuliko nyingine na viongozi.
(zozote 4 X 2)