You are on page 1of 10

Lindi, Mtwara

Toleo No.09 Limesambazwa kwa Taasisi na Idara zote MEM Tarehe Machi 28-April 3, 2014

kuchele!

HABARI KAMILI SOMAUK2

Sefue, Makatibu Wakuu wakagua mradi wa gesi


Ofisi ya Mawasialiano Serikalini inapokea habari za matukio mbalimbali
kwa ajili ya News Bullettin hii na Jarida la Wizara ya Nishati na Madini
Wasiliana nasi kwa simu No 0783 553203 au Fika Ofisi ya Mawasiliano Ghorofa ya Tano (MEM)
Barua pepe: badra77@yahoo.com
2 |  MEM News Bulletin

NISHATI

Lindi, Mtwara kuchele!


Na Mwandishi Wetu
FIVE
PILLARS
OF

U
Mtwara

REFORMS
zinduzi wa gesi katika
Mikoa ya Lindi na Mtwara
ni kichocheo cha ukuaji wa
uchumi wa mikoa hiyo. Neno
hili la Lindi/Mtwara kuchele
ni maarufu kwa wakazi hao INCREASE EFFICIENCY
ikiwa na maana kwamba Lindi/Mtwara
kumekucha (kuchele).
“Itakuwa ni makosa makubwa kwa QUALITY DELIVERY
Wananchi wa Lindi na Mtwara kudhani
kwamba ugunduzi wa gesi katika mikoa OF GOODS/SERVICE
kutageuza mikoa hiyo kuwa kama Dubai
ama nchi yoyote iliyoendelea huku wakazi
wake wakibweteka kwa kudhani neema ime- SATISFICATION OF
washukia hivyo hawana sababu za kufanya THE CLIENT
kazi au kujishughulisha na kazi mbalimbali
za kujipatia kipato”. anatanabaisha Katibu
Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue SATISFICATION OF
Katibu Mkuu Kiongozi anawakum-
busha wakazi wa mikoa hiyo pamoja na BUSINESS PARTNERS
Tanzania kwa ujumla kwamba matokeo na
mapato halisi yanatokana na gesi hayatakuja SATISFICATION OF
kabla ya miaka sana au zaidi na hata tuki-
amua kugawana fedha zote zinazotokana na SHAREHOLDERS
gesi asilia, kiasi ambacho kila mtu atakipata
si kikubwa cha kumfanya mtu yeyite ajione
ni tajiri asiye na haja ya kufanya kazi.
Balozi Sefue ambaye ni mtendaji wa
Mkuu wa Serikali na ndiye anayesimamia
Makatibu Wakuu wa Wizara zote za Seri-
kali, wikii hii aliongoza Makatibu Wakuu
wa Wizara kadhaa kutembelea mradi wa
ujenzi wa gesi katika Mikoa ya Lindi na
Baadhi ya Makatibu Wakuu wakipanda juu kwa lift katika meli ya
Mtwara na hatimaye Dar es Salaam. kuchimba kisima cha gesi
Balozi Sefue alitembelea maeneo ya BODI YA UHARIRI
Msimbati, Madimba na ujenzi wa kiwanda na maendeleo ya ujenzi wa bomba la gesi, uchumi kwa kuendeleza sekta nyingine
cha simenti cha Dangote mkoa wa Mtwara mitambo ya kuchakata gesi, nyumba za wa- kama vile kilimo, ufugaji, uvuvi na viwanda MHARIRI MKUU
wakati katika Mkoa wa Lindi alitembelea fanyakazi katika mitambo ya kusafisha gesi kwani kwa kutegemea gesi peke yake na Badra Masoud
eneo la Songosongo yatapounganishwa na kuzalisha gesi na mtambo wa kuzalisha kusahau sekta nyingine. MSANIFU
na kutandikwa mabomba ye gesi eneo la gesi katika eneo la Msimbati mkoani Mt- Balozi Sefue alisema Tanzania Essy Ogunde
baharini, ujenzi wa nyumba za wafanyakazi wara huku akipongeza na kusisitiza kasi na imegundua gesi asilia katika kipindi amba- WAANDISHI
eneo hilo la Songosongo na hatimaye Dar es jitihada zinazofanywa na Wizara ya Nishati cho dunia ina mifano mingi ya nchi zilizo- Asteria Muhozya
na Madini kuendelea. tumia vizuri rasilimali hiyo na kufaidika Greyson Mwase
Salaam alitembelea Ujenzi wa mtambo wa Jema Marko,
kuzalisha umeme 150 MW wa KInyerezi I. Alisisitiza kusema kwamba ugunduzi nayo hivyo ni muhimu kwa Tanzania kuiga
Teresia Mhagama
Kwa hakika balozi Sefue alifurahishwa wa gesi asilia ni kichocheo cha kukuza mifano mizuri kutoka katika nchi hizo. Nuru Mwasampeta

Ujenzi wa bomba la gesi asilia kukamilika mwezi Juni


Na Greyson Mwase, Mtwara Natural Gas Transportation Pipeline na ajira. gwa nyumba za kuishi wafanyakazi
Bw. Kapuulya Musomba aliuambia “Kwa mfano wakati wa ujenzi wa zenye uwezo wa kubeba wafanyakazi

K
ujumbe huo kuwa bomba hilo lenye kituo hiki takribani vijana 350 walia- 60 na wageni 26 na kusisitiza kuwa
azi ya ulazaji wa bomba la uwezo wa kuzalisha futi za ujazo jiriwa ambao wamekuwa wakinufaika wafanyakazi wataishi kwenye nyumba
gesi chini ya bahari kutoka milioni 140 linatarajiwa kukamilika na kipato kinachotokana na mradi zao kutokana na kwamba mitambo
katika kisiwa cha Songo mwezi Aprili. huu.” Alilisitiza Bw. Pwaga. hiyo inaendeshwa kwa masaa 24 kwa
songo kupitia Somanga- Futi za ujazo milioni 140 Bw. Pwaga alisema kuwa faida siku saba.
fungu hadi Dar es salaam zitaunganishwa na nyingine 210 nyingine itakayopatikana ni pamoja Bw. Pwaga aliongeza kuwa
inatarajia kukamilika mwezi Juni zilizopo Somangafungu na kuongeza na ajira 60 kwa wataalamu watakao- vyumba vingine 24 ni kwa ajili ya
mwaka huu. kuwa mradi utakapokamilika utakuwa fanya kazi katika kituo cha kusafisha wageni mbalimbali wanaotembelea
Mbali na mradi wa bomba la gesi na uwezo wa kuzalisha futi za ujazo gesi na kuongeza kuwa kipaumbele kituo hicho.
kunufaisha nchi kuondokana na adha milioni 750. kitatolewa kwa wakazi wa Madimba. Akielezea muda wa kuwasili
ya kukosa umeme wa uhakika pia uta- Kwa upande wake Bw. Sultani Aliongeza kuwa wafanyakazi kwa mitambo ya kusafisha gesi asilia,
fungua fursa za ajira ikiwa ni pamoja Pwaga, mtalamu kutoka Shirika la 30 watafanya kazi kwa siku 28 na Bw. Pwaga alisema mitambo hiyo
na kuboresha huduma za jamii kwa Maendeleo ya Petroli (TPDC) am- kupumzika na wengine 30 kuendelea itawasili kabla ya mwezi Juni, 2014
wakazi wanaoishi karibu na mradi huo. baye ni msimamizi wa mradi alisema na kazi kwa siku 28 wengine wa- na mradi unatarajiwa kukamilika
Akizungumza na ujumbe wa ujenzi wa kituo cha kusafisha gesi cha napokuwa likizo kutokana na sababu mapema Desemba mwaka huu.
makatibu wakuu ukiongozwa na Ka- Madimba umeleta neema kubwa kwa za kimazingira. Aliongeza kuwa mitambo hiyo
tibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni wakazi wa eneo la Madimba kwa ku- Aidha Bw. Pwaga alieleza kuwa, kwa sasa inatengenezwa nchini Uje-
Sefue Meneja Mradi wa Tanzania fungua fursa nyingi ikiwa ni pamoja katika eneo la Msimbati kumejen- rumani, Canada, Australia na China.
MEM News Bulletin | 3

MADINI

Changamkieni
fursa-Balozi Sefue
W
Na Greyson Mwase, Mtwara

ananchi wa mkoa
wa Mtwara
wametakiwa
kuchangamkia fursa
zilizopo kutokana
na kugundulika
kwa kiasi kikubwa cha gesi katika mkoa
huo kilichopelekea uwekezaji katika
viwanda ikiwa ni pamoja na kiwanda cha
kusafisha gesi.
Hayo yalisemwa na Katibu Mkuu
Kiongozi Balozi Ombeni Sefue aliyeku-
wa katika ziara ya ya siku mbili katika
mkoa wa Lindi na Mtwara kwa ajili ya
kujionea maendeleo ya miundombinu
ya bomba la gesi ikiwa ni pamoja na
kiwanda cha kusafisha gesi cha Mad-
imba na viwanda viwili vya sementi
vilivyopo katika mikoa hiyo.
Katibu Mkuu kiongozi aliam-
batana na makatibu wakuu kutoka
wizara tofauti ikiwa ni pamoja na Bw.
Eliakim Maswi (Wizara ya Nishati
na Madini) Dkt. Servacius Likwelile
(Wizara ya Fedha na Uchumi) Bw. Job
Masima (Wizara ya Ulinzi) Dkt. Sha-
ban Mwinjaka (Wizara ya Uchukuzi) Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akisisitiza jambo
Bw. Alphayo Kidata (Wizara ya Ardhi)
na Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya rasilimali hii muhimu itasimamiwa
Ujenzi Mhandisi Joseph Nyamhanga. ipasavyo. “ Alisisitiza Balozi Sefue.
Wengine alioambatana nao ni Wakati huo huo, akiwasilisha taarifa
Katibu Mtendaji (Mipango) Dkt. ya maendeleo yaliyotokana na gesi
Philip Mpango, Kaimu Kamishna mkuu wa mkoa Mtwara Mhe. Jospeh
Mkuu kutoka Mamlaka ya Mapato Simbakalia alisema kuwa kutokana na
Nchini (TRA) Bw. Rished Bade ikiwa ugunduzi wa gesi fursa nyingi zimeanza
ni pamoja na watendaji kutoka katika kuonekana katika mkoa huo.
Wizara ya Nishati na Madini na taasisi Akitaja fursa hizo Mhe. Simbakalia
zake. alisema ni pamoja na benki kuu ya Tan-
Balozi Sefue alisema kuwa ume- zania kufungua tawi lake katika mkoa
fika wakati wa wananchi kuchangam- huo, upanuzi wa bandari ikiwa ni pamoja
kia fursa hizo ili kujiletea maendeleo na kujengwa kwa kiwanda cha simenti
kwa vizazi vilivyopo na vijavyo bila cha Dangotte.
kusahau sekta nyingine muhimu. Mhe. Simbakalia aliongeza kuwa
“ Nimefarijika sana na kasi ya zaidi ya ajira 300 zimetolewa kwa vijana
ujenzi wa bomba la gesi ikiwa ni wanaoshiriki katika mradi wa ujenzi wa
pamoja na mikakati ya maendeleo bomba la gesi na kuongeza kuwa ifikapo
ambayo mkoa umejiwekea, lakini rai Mtaalamu kutoka shirika la maendeleo ya petroli nchini (TPDC) Bw.
mwaka 2025 mkoa wa Mtwara utakua Sultan Pwaga akitoa maelezo kwa katibu mkuu kiongozi Balozi Ombeni
yangu ni kuwa, tusisahau sekta nyingine umepaa sana kiuchumi. Sefue ikiwa ni pamoja na ujumbe wa makatibu mbalimbali juu ya hatua
muhimu kwani gesi ni rasilimali inakwi- Akizungumzia changamoto zilizopo ya ujenzi wa kituo cha kusafisha gesi cha Madimba
sha.’’ Alisema Balozi Sefue. katika mkoa wake Bw. Simbakalia
Balozi Sefue aliongeza kuwa aliongeza kuwa ni pamoja na kutokuwa
fedha inayopatikana na gesi inatakiwa na wataalamu wa kutosha kutoka mkoa ya kusomea masuala ya gesi na petroli. hizo ili siku za usoni tupeleke wanafunzi
kutumika ipasavyo kujenga uchumi kwa wa Mtwara wanaoshiriki katika mradi “ Kwa mfano Wizara ya Nishati na wetu nje ya nchi na kujenga uchumi wa
kufungua vitega uchumi vingine vina- wa bomba la gesi. Madini imekuwa ikitoa ufadhili kwa ajili Mtwara.” Alisisitiza Mhe. Simbakalia.
vyoweza kuiwezesha Mtwara kuendeleza Hata hiyo Mhe. Simbakalia alifa- ya wanafunzi wetu kusoma katika vyuo Vilevile Mkuu wa Mkoa huyo
ukuaji wa uchumi wake hata mara baada fanua kuwa kutokana na changamoto vikuu vilivyopo ndani na nje ya nchi , alitaja changamoto nyingine kuwa ni
ya gesi kwisha kabisa mbeleni. hiyo wameanzisha shule mbili kwa ajili lakini changamoto kubwa inakuwa ni pamoja na kutokuwa na teknolojia ya
“Inatakiwa ifikie vizazi vijavyo viji- ya wanafunzi wa masomo ya sayansi na upatikanaji wa wanafunzi wenye sifa kisasa katika utafutaji na uchimbaji wa
vunie na vitega uchumi vilivyotokana na hisabati ili kuzalisha wanafunzi watakao- hizo yaani waliofaulu katika masomo gesi ikiwa ni pamoja na vifaa vya kisasa.
gesi iliyogunduliwa, kwa maana nyingine jiunga na vyuo vikuu vilivyopo nchini ya hisabati na kiingereza, lakini tume- Alisisitiza kuwa mradi wa gesi
gesi iwe imebadilisha historia ya Mtwara, ikiwa ni pamoja na nje ya nchi kwa ajili jipanga kuzalisha wanafunzi wenye sifa unahitaji uwekezaji mkubwa, kifedha ,
naamini hivyo inawezekana kabisa iwapo kiteknolojia na kitakwimu.
4 |  MEM News Bulletin

HABARI KTK PICHA

Balozi wa Tanzania nchini Nigeria, Daniel Ole Njoolay (wapili kutoka


kulia) akipokea tuzo ya heshima ya Mwanajiolojia wa Afrika kwa
niaba ya Waziri wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter Muhongo ambaye
ni Mwanajiolojia mahiri anayetambulika Afrika na Duniani

Wataalam kutoka Wakala wa Ukaguzi wa Madini


Tanzania (TMAA), Eng. Yisambi Shiwa, (kusho-
to), na Eng. Liberatus Chizuzu (kulia) wakiwa
pamoja na mtaalam kutoka Ofisi ya Madini
kanda ya Mashariki, Bw. Nkya (katikati) katika
moja ya machimbo ya madini ya ujenzi katika
eneo la Lugoba wilayani Chalinze.

Kamishna wa Madini Mhandisi Paul Masanja akisisitiza jambo wakati


akizungumza na Waandishi wa Habari, kulia kwake ni Kamishna
Msaidizi wa Madini anayeshughulikia leseni Mhandisi John Nayopa na
kushoto kwake Bi. Badra Masoud Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano
Serikalini akifuatiwa na Afisa wa Habari wa Idara ya Habari Maelezo
Bw. Frank Mvungi

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue


(kushoto) akiangalia moja ya nyumba za
wafanyakazi zinazojengwa katika kituo cha
kusafisha gesi cha Madimba Mtwara. Katikati
ni Bw. Sultan Pwaga kutoka Shirika la Maende- Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue pamoja na makatibu wakuu
leo ya Petroli Nchini (TPDC) Kulia ni Katibu wengine (kwa mbali) wakitoka kwenye boti kuingia kwenye meli katika
Mkuu wa Nishati na Madini Bw. Eliakim Maswi. ziara aliyoifanya katika kisiwa cha Songosongo
MEM News Bulletin | 5

MATUKIO KATIKA PICHA

Mkurugenzi Mtendaji
wa Shirika la Umeme
Nchini (TANESCO)
Mhandisi Felschemi
Mramba (kulia)
akitoa maelezo kwa
Katibu Mkuu Kion-
gozi Balozi Ombeni
Sefue kwenye eneo
kinakojengwa kituo
cha umeme cha
Kinyerezi jijini Dar
es Salaam. Katikati
ni Katibu Mkuu wa
Nishati na Madini
Bw. Eliakim Maswi.

Makatibu Wakuu na watend-


aji wa Wizara ya Nishati na
Madini wakipanda kwenye
meli katika kisiwa cha
Songosongo walipokuwa
kwenye ziara ya kukagua
miradi ya gesi.

Kazi ya ujenzi wa nyumba


za wafanyakazi katika kituo
cha kusafisha gesi cha
Madimba kilichopo Mtwara
ikiendelea.
6 |  MEM News Bulletin

NISHATI/MADINI

Mradi wa Gesi utaondoa


Mgao – Kamishna wa Nishati
“Mpango wa Matokeo
Makubwa Sasa kwa
upande wa nishati
unafanya kazi. Hakuna
sekta ambayo haitumii
nishati. Nishati ni kila
kitu katika njia zote
za kiuchumi, ndio
maana tunazifanyia kazi
changamoto za nishati
ili kuwepo na matokeo
bora zaidi”.

Kamishna wa Nishati, Wizara ya Nishati na Madini Mhandisi Hosea Mbise.

Na Asteria Muhozya, Dar es maji, lakini sasa tuna gesi, kuna ikiwemo Sera ya Nishati na hivi Kuhusu umeme kuvifikia

K
Salaam nishati jadidifu tuna makaa ya sasa uwepo wa Mpango kwa vijiji alieleza kwamba, kabla
mawe, mgao utakuwa historia. Matokeo Makubwa Sasa (BRN) Wakala wa Umeme Vijijini
amishna wa Changamoto ya nishati ya maji ni baadhi ya mambo ambayo (REA) kutekeleza mradi huo,
Nishati Wizara ya imetufungua macho” Alisema yamesaidia kuongeza mabadiliko vijiji vilikuwa vimeunganishwa
Nishati na Madini Mbise. katika tasnia ya nishati. kwa umeme kwa kiasi cha asil-
Mhandisi, Hosea Aliongeza kuwa, upatikanaji “Mpango wa Matokeo imia 0.2 wakati sasa kiasi hicho
Mbise ameeleza wa gesi inayozalishwa Songo- Makubwa Sasa kwa upande wa kimepanda na kufikia asilimia
kuwa, kukamilika songo na kuuzwa kwa Shirika la nishati unafanya kazi. Hakuna 7. Hivyo, amewataka wananchi
kwa ujenzi wa mradi wa bomba Umeme Tanzania (TANESCO) sekta ambayo haitumii nishati. kuhakikisha wanaokoa nishati
la gesi (Mtwara- Dar es Salaam) kwa ajili ya kuzalisha umeme Nishati ni kila kitu katika njia hiyo kwa kuitumia vizuri ikiwa
pamoja na upatikanaji wa nishati imesaidia kwa kiasi kikubwa zote za kiuchumi, ndio maana ni pamoja na kulinda na kutun-
jadidifu kutaondoa tatizo la mgao kupunguza tatizo la umeme tunazifanyia kazi changamoto za za miundombinu ya umeme ili
wa umeme ambao umekuwepo kwa kipindi cha kuanzia mwaka nishati ili kuwepo na matokeo iweze kuwanufaisha wananchi
kwa kipindi kirefu. 2004, kwani bila hivyo, tatizo hilo bora zaidi”. Aliongeza Mbise. wengi zaidi na vizazi vijavyo.
Kamishna Mbise aliyasema lingekuwa kubwa, hivyo kuka- Akizungumzia suala la Akizungumzia mabore-
hayo ofisini kwake wakati wa ma- milika kwa mradi huo wa ujenzi kuhakikisha nishati ya umeme sho kwa Shirika la Umeme
hojiano maalum akieleza namna wa Bomba la gesi kutaondoa inawafikia wananchi wengi, (TANESCO), alieleza kwamba,
ambavyo jitihada mbalimbali tatizo hilo kutokana na kuwa na Mhandisi Mbise alieleza kwamba, tayari zipo jitahada ambazo
zimefanyika kuhakikisha kwamba uhakika wa nishati ya kutosha mkakati uliopo ni kuhakikisha zimefanywa na Shirika hilo
kunakuwa na nishati ya kutosha itakayotokana na gesi. kwamba wananchi wengi zaidi ikiwemo ukarabati wa miun-
nchini na hivyo kuondoa tatizo la Aliongeza kuwa, dira na wanaunganishwa na umeme ili dombinu, kuboresha mfumo
umeme nchini. dhima ya Wizara ya Nishati kufikia kiasi cha asilimia 30 ifi- wa utendaji na kuboresha njia
“Zamani tulikuwa tunatege- na Madini yakiwemo mageuzi kapo mwaka 2015 kutoka katika za makusanyo, hiyo yote ikiwa
mea nishati ya aina moja tu ya mbalimbali ya kiuchumi, kisiasa kiwango cha sasa cha asilimia 24. ni kuhakikisha kuwa nishati ya
umeme inawafikia wananchi
wengi zaidi.
MEM News Bulletin | 7

NISHATI/MADINI

Tujifunze kwa wenzetu ili kunufaika na gesi asilia- Sefue


Maliki Munisi makatibu wakuu 11 kutoka wizara kujenga rasilimali watu kwa ajili ya yatakayotokea kuzunguka gesi,”

W
tofauti pamoja na Kaimu Kamis- kufanya kazi katika sekta hii mpya ni vyema vijana wetu tukawaan-
atanzania waaswa hana Mkuu wa TRA. ya mafuta na gesi. daa katika masomo ya sayansi na
kujifunza ku- “Duniani hapa tuna mifano Vilevile Katibu Mkuu Kion- hesabu lakini pia katika masomo
toka katika nchi ny- mingi ya watu ambao wamegundua gozi alisisitiza kuwa ni vizuri Wa- ya biashara ilikuweza kuona fursa
ingine ili kunufaika au Mwenyezi Mungu amewajalia nanchi wakaelezwa fursa zilizopo hizo na kuzitumia” aliongeza Katibu
zaidi na uchumi rasilimali gesi au mafuta na katika kutokana na ugunduzi wa gesi ili Mkuu Kiongozi.
wa gesi asilia. Haya yalisemwa na hao kuna walioharibikiwa sana na waweze kujipanga na kunufaika Kwa upande wake, Mkuu wa
Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi waliofanikiwa sana, sisi tujifunze zaidi. Mkoa wa Mtwara, Mhe. George
Ombeni Sefue alipokua katika ziara kutoka kwa wale waliofanikiwa’’ . Alisisitiza kuwa si kila mwa- Simbakalia alieleza namna ambavyo
ya siku mbili kukagua maendeleo ya alisema Balozi Sefue. nanchi lazima afanye kazi moja kwa mkoa wa Mtwara umejipanga ili
ujenzi wa bomba la gesi na kiwanda Aidha, aliongeza kuwa ni mojakatika masuala ya mafuta na kunufaika na uchumi wa gesi na
cha kuchakata gesi asilia katika vyema kama jamii ikajipanga ili gesi bali zipo fursa nyingine ambazo kuongeza kuwa ugunduzi wa gesi
mikoa ya Lindi na Mtwara. kunufaika na sekta hii kwa kuelewa wananchi wanaweza kunufaika. asilia umeuweka mkoa huo katika
Katika ziara hiyo Katibu ni nini gesi asilia na manufaa yake. “ Uchumi wa gesi si gesi nafasi nzuri ya kunufaika kiuchumi.
Mkuu Kiongozi aliongozana na Balozi Sefue alitilia mkazo suala la yenyewe bali ni yale manufaa

Madini ya ujenzi yaiingizia Resolute


kukabidhiwa
serikali Bilioni moja kwa mwaka chuo cha
madini
Na Mwandishi wetu na TMAA wanaendelea kuzuia hivyo kurahisisha kazi ya kukusanya

U
mianya inayotumiwa na baadhi ya mrabaha na kodi mbalimbali kutoka
bunifu wa Wakala wa wafanyabiashara wasiokuwa waa- kwa wachimbaji wenye leseni. Nuru Mwasampeta

B
Ukaguzi wa Madini minifu katika kusafirisha madini ya Eng. Chizuzu ameeleza kuwa,
Tanzania (TMAA) wa ujenzi bila kutumia hati za mauzo ya kufuatia mafanikio yaliyopatikana aada ya mmiliki
kutumia stakabadhi ka- madini hayo ilhali ikiwa ni kinyume katika mikoa ya Dar es Salaam na wa mgodi wa
tika ukaguzi wa uchim- cha utaratibu. Pwani, Wakala kwa kushirikiana na Golden Pride
baji na biashara ya madini ya ujenzi Eng. Samaje alisisitiza kuwa Ofisi za Madini za Kanda ya Ziwa uliopo wilayani
umefanikisha serikali kukusanya hatua kali za kisheria zitaendelea Victoria na Kanda ya Kati ulianzisha Nzega mkoani
mapato ya kiasi cha shilingi bilioni kuchukuliwa kwa mchimbaji, mfan- ukaguzi wa madini ya ujenzi katika Tabora kufikia kikomo cha
moja kwa mwaka. yabiashara au msafirishaji wa madini Jiji la Mwanza na mikoa ya Dodoma uchimbaji madini mwezi
Utaratibu huo ulioanza kutumi- ya ujenzi atakayebainika kukiuka na Singida. Februari mwaka huu na
ka tangu mwezi Juni mwaka 2011 utaratibu uliopangwa. Ukaguzi wa madini ya ujenzi eneo hilo litakuwa chini
katika mikoa ya Dar es Salaam na Naye Mkurugenzi wa Ukaguzi katika mkoa ya Mwanza, umeleta ya uongozi wa Chuo cha
Pwani umeleta ongezeko la mapato na Udhibiti wa Uzalishaji na Bi- mafanikio makubwa katika maku- Madini Dodoma ili litumike
hadi kufikia wastani wa Shilingi ashara ya Madini kutoka TMAA, sanyo ya mrabaha. Kiasi kilichoku- katika kufundishia wataal-
bilioni moja kwa mwaka, ikilin- Eng. Liberatus Chizuzu amesema sanywa katika Jiji la Mwanza ni amu wa kitanzania masuala
ganishwa na wastani wa Shilingi zoezi la kuwaondoa wachimbaji Shilingi milioni 133.8 kwa kipindi ya madini.
milioni tatu kwa mwaka zilizokuwa haramu na kugawa maeneo mapya cha kuanzia Juni hadi Septemba Hayo yamebainishwa
zikikusanywa kabla ya matumizi ya ya uchimbaji, limeongeza idadi ya 2013, ikilinganishwa na wastani na Kamishna wa Madini
stakabadhi kuanza. wamiliki wa leseni na hivyo kui- wa Shilingi milioni 2 kwa mwaka Mhandisi Paul Masanja
Kaimu Mtendaji Mkuu wa wezesha Serikali kunufaika zaidi zilizokuwa zikikusanywa kabla ya alipokuwa akizungumza
TMAA, Eng. Dominic Rwekaza kutokana na matumizi ya stakabadhi matumizi ya stakabadhi kuanza. na waandishi wa Habari
amesema kwa kuwa shughuli jijini Dar es Salaam juu
za ujenzi zimekuwa zikiendelea ya uvamizi uliofanywa
kwa kasi, TMAA iliamua kubuni na wananchi wanaozun-
utaratibu ambao utawawezesha guka mgodi huo kwa
wachimbaji wa madini ya ujenzi madai kuwa taratibu za fidia
kama kokoto na mchanga kulipa hazikufanyika wakati wa
mrabaha kama Sheria ya Madini ya umilikishaji wa leseni hiyo
Mwaka 2010 inavyoelekeza. na kwamba wao ni wazawa
Eng.Dominic Rwekaza ame- hivyo hawana budi kutumia
sema kuwa kutokana na mafanikio eneo hilo.
yaliyopatikana katika ukaguzi wa Masanja amebainisha
madini ya ujenzi katika mikoa ya kuwa taratibu zote za kumi-
Dar es Salaam na Pwani, Wakala likishwa leseni kwa kampuni
umeanzisha ukaguzi kama huo kati- ya Resolute Tanzania mna-
ka mikoa ya Mwanza (Machi 2013); mo mwaka 1998 zilifuatwa
Dodoma na Singida (Oktoba 2013); na kwamba leseni hiyo inai-
na Kanda ya Kusini Magharibi sha muda wake ifikapo Mei
(Machi 10, 2014). mwaka huu na kueleza kuwa
Ameeleza kuwa Wakala pia haikubaliki kwa wachimbaji
kwa kushirikiana na Ofisi ya Ka- wadogo kuvamia na kufanya
mishna Msaidizi wa Madini Kanda shughuli za utafutaji, uchim-
ya Mashariki na Jeshi la Polisi, baji na umiliki wa madini
uliendesha operesheni kabambe kwani ni kinyume cha sheria
ya kuondoa wachimbaji haramu ya madini.
wa madini katika mikoa ya Dar es Serikali kupitia wizara
Salaam na Pwani kwa muda wa ya nishati na madini
siku kumi na mbili mwezi Agosti, imeweka kipaumbele katika
2012 ili kuondoa wachimbaji ambao kuelimisha wataalamu katika
wanaikosesha mapato Serikali kwa mambo mbalimbali yanayo-
kuchimba madini bila kibali. husu madini, petroli na gesi
Naye Kamishna Msaidizi wa ili kuiwezesha nchi kuwa
Madini Kanda ya Mashariki, Eng. na wataalamu wakutosha
Ally Samaje ameeleza kuwa, kwa Malori yakiwa yakibeba madini ya ujenzi aina ya kokoto katika moja ya machimbo na watakaoweza kusimamia
sasa Ofisi yake kwa kushirikiana yaliyo hapa nchini rasilimali za nchi kwa
ufanisi.
UJUMBE WA WAZIRI WIKI HII
SAYANSI,TEKNOLOJIA NA UBUNIFU NI NYENZO MUHIMU NA ZA LAZIMA
KATIKA UTAFUTAJI NA UVUNAJI WA RASILIMALI ZA MADINI, GESI ASILIA
NA MAFUTA. VIJANA WA KITANZANIA NAWAHIMIZA KUWEKA MKAZO
KWENYE UFAULU WA MASOMO YA SAYANSI NA HISABATI KATIKA
SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI. MASOMO HAYO NDIYO MSINGI
WA UTAALAMU KWENYE SEKTA ZA NISHATI NA MADINI.

Jumla ya Leseni 603 zafutwa kwa


kipindi cha mwaka 2012-2014
Kamishna wa Madini
Mhandisi Paul Masanja
akizungumza na
waandishi wa Habari
juu ya masuala ya
Wachimbaji wadogo ka-
tika ukumbi wa Idara ya
Habari MAELEZO Jijini
kulia kwake ni Kamish-
na Msaidizi wa Madini
anayeshughulikia leseni
Mhandisi John Nayopa
na kushoto kwake ni Bi.
Badra Masoud Mkuu wa
Kitengo cha Mawasilia-
no Serikalini

Na Jema Marko ni pamoja na leseni 268 za uchumbaji Aidha, alisema pamoja na hatua
mdogo. hizo kufikiwa, wizara imeanza kudhibiti

W
Vilevile aliongeza kuwa, kwa kip- umiliki wa maeneo makubwa ya leseni
izara ya Nishati indi cha mwaka 2013/14, wamiliki wa kwa kutowapa maeneo mapya wale
na Madini leseni 289 walipewa notisi za makosa, wote ambao maeneo wanayoyamiliki
imefuta jumla ya kati ya leseni hizo, 211 zilikuwa za yanazidi kilomita za mraba 2,000.
leseni 603 za uta- utafutaji mkubwa wa madini na leseni Akifafanua juu ya umiliki huo,
futaji madini, na 78 zilikuwa za uchimbaji wa kati na Masanja alisema kuwa, uwingi huo
leseni za uchimbaji mkubwa, uchimbaji leseni moja ya uchimbaji mkubwa wa wa leseni za madini, umebainika kuwa
wa kati na mdogo katika kipindi cha madini ya makaa ya mawe katika eneo baadhi ya wamiliki wa leseni wanakiuka
mwaka 2012- 2014. la Kabulo. Kutokana na taarifa hizo za sheria ya madini kwa kuhodhi maeneo
Akitoa taarifa ya kufuta leseni makosa, jumla ya leseni 174 za utafutaji makubwa ya leseni, kukwepa kulipa
hizo wakati akiongea na waandishi madini na leseni moja ya uchimbaji ada, mrahaba na kodi kwa wakati na
wa habari katika Ukumbi wa Idara ya mkubwa zimefutwa kwa mujibu wa kushikilia maeneo yaliyo chini yao bila
habari MAELEZO, Kamishna wa sheria. ya kuyafanyia kazi. Hali ambayo inach-
Madini Wizara ya Nishati na Madini Pamoja na hayo, aliongeza kuwa, elewesha ukuaji wa sekta na kuikosesha
Mhandisi Paul Masanja alieleza kuwa, wizara imeunda timu Maalumu ya serikali mapato.
Leseni hizo zimefutwa kwa mujibu wa ukaguzi ambayo inatembelea maeneo Aliongeza kuwa, ni azma ya
sheria na kufuatia agizo la Waziri wa yote ya utafutaji na uchimbaji wa ma- Wizara kuhakikisha kwamba wote
Nishati na Madini wakati akiwasilisha dini, pamoja na maduka ya wafanyabi- wanaomiliki leseni wanakuwa tayari
Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya mwaka ashara wa madini nchini ili kujiridhisha kuendeleza leseni zao ili kuepuka
2012/2013 na mwaka 2013/2014 na kama wahusika wanahimiza masharti ya kuchukuliwa hatua za kisheria.
kutaka kufungiwa leseni kwa wamiliki leseni walizopewa. “Tanzania imejaliwa hazina
wote wa leseni watakao bainika kukiuka Vilevile alieleza kuwa, timu hiyo kubwa ya madini ya aina mbalimbali
sheria na masharti ya leseni zao. imeshaanza kazi katika mikoa ya ambayo yanawavutia watu na Kampuni
Aliongeza kuwa, katika kutekeleza Arusha, Kilimanjaro na Manyara na mbalimbali kuomba leseni za utafutaji
agizo hilo, wamiliki wa leseni 888 wali- itaendelea na kazi katika maeneo yote na uchimbaji wa madini nchini. Umi-
pewa notisi za makosa katika kipindi nchini, ambapo wale wote watakao- liki wa leseni za madini hapa nchini
cha mwaka 2012/2013 ambapo jumla bainika watapewa hati za makosa na unaongozwa na sheria ya madini ya
ya leseni 160 za utafutaji na leseni moja leseni zao kufutwa iwapo watashindwa mwaka 2010 na kanuni zake.” Alisema
ya uchimbaji wa kati zilifutwa zikiwa kurekebisha kasoro hizo. Kamishna.

WIZARA YA NISHATI NA MADINI


Imetolewa na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
Wasiliana nasi kwa simu No 0783 553203 au Fika Ofisi ya Mawasiliano Ghorofa ya Tano (MEM)
Barua pepe: badra77@yahoo.com
MEM News Bulletin | 9

NISHATI

Wastaafu TANESCO
waaswa kutumia
vizuri mafao
“Mwaka 2009 Shirika lilitoa mafunzo kwa wasta-
afu 30, mwaka 2010 wastaafu 30, mwaka 2011
wastaafu 93, mwaka 2012 wastaafu 67, mwaka
2013 wastaafu 116 na mwaka 2014 wastaafu 114.
Mwisho wa mafunzo haya jumla ya wastaafu
450 watakuwa wamefaidika kwani mafunzo haya
yataendeshwa kwa awamu tatu na yatafungwa
rasmi Aprili 11, mwaka huu”.

Afisa Rasilimali Watu Mkuu kanda ya kati, Bw.


Manyerere Magoti akiongea wakati wa ufunguzi
wa semina ya mafunzo ya ujasiriamali.

Washiriki wa semina ya mafunzo ya ujasirimali kwa wastaafu watarajiwa wakiwa katika picha ya pamoja.
Na mwandishi wetu bisha washiriki hao, alisema TANESCO imekuwa na nini wanastaafu. Amewataka wastaafu kuwa na ndoto ya

A
utaratibu wa kufanya mafunzo kama hayo tangu mwaka kufikiri kuwa baada ya kustaafu wanaenda kufanya nini.
fisa Rasilimali Watu Mkuu Kanda ya 2009 baada ya Shirika kuona umuhimu wa kuwapatia Kwa upande wa mwezeshaji Dk. Mgemba Makuru
Kati Bw. Manyerere Magoti amewataka mafunzo ya ujasiriamali wafanyakazi wake wanaotarajia ambaye ni mtaalamu wa masuala ya uchumi na biashara
wastaafu watarajiwa katika Shirika la kustaafu kazi kwa mujibu wa sheria. amewaeleza washiriki kutambua fursa za kiuchumi na
Umeme nchini (TANESCO), kutumia “Mwaka 2009 Shirika lilitoa mafunzo kwa wasta- uwepo wa soko ambalo lina watu wengi ambao bado
vizuri mafao yao ya uzeeni mara baada ya afu 30, mwaka 2010 wastaafu 30, mwaka 2011 wastaafu hawapati bidhaa au huduma fulani vya kutosha.
kustaafu. 93, mwaka 2012 wastaafu 67, mwaka 2013 wastaafu Dk. Makuru, aliwataka washiriki kutumia uzoefu
Bw. Magoti aliyasema hayo wakati akifungua 116 na mwaka 2014 wastaafu 114. Mwisho wa mafunzo na elimu yao kwa kuanzisha miradi ya kiuchumi kwa
mafunzo ya ujasiriamali kwa wastaafu watarajiwa wa haya jumla ya wastaafu 450 watakuwa wamefaidika kutumia mafao yao vizuri kuliko kuendekeza anasa na
TANESCO mjini Morogoro ili kuwawezesha washiriki kwani mafunzo haya yataendeshwa kwa awamu tatu matumizi mengine yasiyo ya msingi, huku akisisitiza
kujiandaa kwa maisha mazuri baada ya kustaafu na na yatafungwa rasmi Aprili 11, mwaka huu”.Alisema namna bora ya kutumia mafao watakayoyapata wakati
kuwa na uhakika wa kipato na kujiandaa kisaikolojia. Bw.Masalu wa kustaafu.
Afisa Rasilimali Watu Mkuu aliwataka wastaafu Wawezeshaji katika mafunzo hayo, Prof. Andrue Mafunzo ya ujasiriamali yaliyotolewa kwenye
hao kuwa na mtazamo chanya zaidi kuhusu kustaafu na Mbwambo na Dk. Mgemba Makuru kutoka kampuni semina hiyo yamelenga zaidi kuwaimarisha wastaafu
kutambua jinsi ya kujipanga ili kulinda afya ya ubongo, ya TETRALINK TAYLOR & ASSOCIATES TAN- watarajiwa katika kuanzisha shughuli za ujasiriamali
mwili na viungo katika maisha ya uzeeni wanayoyaele- ZANIA LIMITED, kwa nyakati tofauti walieleza ambazo hazihitaji mtaji mkubwa wa pesa, ambapo
kea. umuhimu wa mafunzo hayo kwa wastaafu, ambapo Prof. walijifunza jinsi ambavyo mstaafu anaweza kutumia
Naye Msimamizi wa Mafunzo hayo Afisa Mbwambo aliwataka wastaafu watarajiwa kufahamu ardhi ndogo aliyonayo kuanzisha shughuli za ufugaji wa
Rasilimali Watu Kitengo cha Mafunzo kutoka Makao kuwa kustaafu sio mwisho wa kufanya kazi na wawe na nyuki na samaki.
Makuu TANESCO, Bw. Benard Masalu akiwakari- mawazo chanya na kutokuumiza vichwa kujiuliza kwa
MEM News Bulletin | 10

NISHATI/MADINI

Mafunzo uongezaji Thamani


Madini kuanza hivi karibuni
Na Asteria Muhozya,
Dar es Salaam

M
ratibu wa Kituo
cha Tanzania
Geomological
Center (TGC)
Bw. Musa
Shanyangi, ameeleza kuwa,
baada ya ushiriki wa TGC katika
Maonesho ya 53 ya Kimataifa ya
Bangkok, Thailand mwishoni
mwa mwezi Februari, 2014,
mikakati ya kituo hicho ni ku-
hakikisha mafunzo ya uongezaji
thamani katika madini ya vito
yanaanza haraka iwezekanavyo
mara baada ya ukarabati wa
majengo kukamilika, ili kuwapa
vijana wa kitanzania fursa ya
kujifunza na kufanya shughuli za
uongezaji thamani katika madini
ya vito na hatimaye waweze Baadhi ya vinyago vya mawe yanayotokana na madini ya aina mbalimbali katika banda
kujiajiri wenyewe. la Tanzania wakati wa Maonesho ya 53 ya Kimataifa ya Madini ya Vito na Usonara yaliyo-
Aliyaeleza hayo alipokuwa fanyika mwishoni mwa mwezi februari, 2014, Bangkok, Thailand.
akielezea hatua ambazo kituo
hicho kimefikia katika ukarabati
wa majengo kabla ya kuanza ya vito (jewelry making & bidhaa zenye ubora wa hali ya Ufundi Stadi (VETA)
mafunzo na kuongeza kuwa, design); Mafunzo ya jimolojia juu ambazo zitauzika kirahisi Kituo cha Tanzania
maonesho hayo yamekinufaisha (science of gemology); Mafunzo katika soko la dunia. Gemological Centre (TGC)
kituo hicho kwa namna nyingi ya kuchonga vinyago vya mawe Bw. Shanyangi ametoa awali kilijulikana kama Arusha
ikiwa ni pamoja na kukuza (stone carving) na Maabara wito kwa wadau walioko katika Gemstone Carving Centre
ushirikiano kati ya Tanzania ya utambuzi wa madini ya vito tasnia ya madini ya kuandaa (AGCC). Kilianzishwa mnamo
na Thailand katika biashara ya (gemstone testing & certification mapambo na samani nyingine mwaka 2003 wakati Serikali
madini ya vito na usonara na laboratory); Maktaba ya jimolojia zinazotokana na mawe ya ikitekeleza Mradi wa Maendeleo
kuweza kutangaza mawe ya (gemology library); Gemstones madini kujitahidi kutengeneza ya Sekta ya Madini (Mineral
urembo (ornamental stones) treatment (heat treatment) na bidhaa zenye ubora wa hali Sector Development Technical
na madini ya vito yanayopati- Makumbusho ya madini ya vito ya juu ili bidhaa hizo ziweze Assistance - MSD TA) ambao
kana nchini, kupata masoko na (gem and jewelry museum). kununuliwa kwa urahisi katika ulitekelezwa kati ya mwaka 1994
kuweza kuuza baadhi ya bidhaa Aidha, alizitaja baadhi ya soko la Kimataifa na 2005. Shughuli za uimarishaji
wakati wa maonesho hayo. mikakati ambayo kituo hicho Vilevile, alieleza hatua na uendelezaji wa kituo kwa hivi
Kuhusu aina ya mafunzo kimepanga kuitekeleza ili nyingine ambazo tayari zime- sasa zinafanyika chini ya Mradi
yatakayotolewa alieleza kuwa, kufikia malengo yake, kuwa ni kwishafanyika kabla ya kuanza wa Usimamizi Endelevu wa
mara baada ya ukarabati wa kuhakikisha kituo hicho kinapata rasmi kwa mafunzo kuwa ni Rasilimali ya Madini (Sustain-
kituo kukamilika, kitatoa mwalimu mwenye ujuzi wa hali pamoja na kuandaliwa Mpango able Management of Mineral
mafunzo na huduma ikiwa ni ya juu ambaye atawafundisha Kazi wa Kituo, Mitaala ya Resources Project – SMMRP,
pamoja na Mafunzo ya kukata vijana wanaosoma katika kituo Kufundishia, Mahitaji na Sifa ambapo moja ya malengo ya
na kung’arisha madini ya vito hicho, mbinu mpya za uchon- za Wakufunzi wanaohitajika mradi huo ni kuboresha manufaa
(lapidary); Mafunzo ya usanifu gaji wa vinyago vya mawe ili na maandalizi ya kusajili kituo yatokanayo na rasilimali ya
na utengenezaji wa mapambo kukiwezesha kituo kutengeneza katika Mamlaka ya Elimu na madini.

Wachimbaji wadogo wahimizwa kulipa kodi

S
Nuru Mwasampeta wamekuwa wakwepaji wakubwa wa gia takribani jumla ya Tsh wadogo ikiwa ni pamoja na ku-
ulipaji wa kodi za serikali. 171,143,099,360 ikiwa kama kodi wasaidia katika kununua mitambo
erikali imepoteza mapato Alisema takwimu zinaonyesha pamoja na michango mingine ya kuchoronga miamba pamoja
mengi kutokana na kuwa kati ya leseni 597 za wachim- ya jamii kama ajira , elimu, afya na kuwapa mikopo ili kuwasaidia
kuwepo kwa wachimbaji baji wadogo wa Mirerani ni leseni pamoja na michango mbalimbali kuendeleza shughuli zao.”
wadogo wasiofuata tara- 13 tu zilizowasilisha taarifa zenye kwa jamii inayowazunguka. Masanja ametoa wito kwa
tibu za umiliki wa leseni takwimu za uzalishaji na leseni Amebainisha kuwa serikali ina wachimbaji wadogo kuzingatia
za madini. 10 tu ndizo zilizolipa jumla ya mipango mizuri katika kuwa- sheria ya madini ili kuweze-
Akizungumza na waandishi wa 32,019,175 kama kodi kwa muda saidia na kuwaendeleza wachimbaji sha katika kuendeleza sekta ya
Habari Jijini Dar es Salaam Kamish- wa miaka sita. wadogo. madini kwa namna endelevu na
na wa Madini Mhandisi Paul Ma- Aidha alieleza kuwa mgodi “Wizara imetenga maeneo bila kuathiri afya, usalama na
sanja amesema wachimbaji wadogo wa Resolute Tanzania umechan- maalum kwa ajili ya wachimbaji mazingira.

You might also like