You are on page 1of 3

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

KURUGENZI YA MAWASILIANO YA RAIS IKULU


Simu: 255-22-2114512, 2116898
E-mail: press@ikulu.go.tz
Tovuti : www.ikulu.go.tz
Faksi: 255-22-2113425

OFISI YA RAIS,
IKULU,

1 BARABARA YA BARACK OBAMA,


11400 DAR ES SALAAM.
Tanzania.

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ametangaza
Baraza la Mawaziri ambalo litakuwa na Wizara 18, Mawaziri 19 na Manaibu Waziri
15.
Ifuatayo ni orodha ya walioteuliwa kulingana na Wizara zao

1. Ofisi
I.
II.
III.

ya Rais (TAMISEMI, Utumishi & Utawala Bora).


(Waziri) George Simbachawene
(Waziri) Angella Kairuki
(Naibu Waziri) Jaffo Seleman Said

2. Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira).


I. (Waziri) January Yusuf Makamba
II. (Naibu Waziri) Luhaga Joelson Mpina
3. Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na
Walemavu).
I. (Waziri) Jenista Mhagama
II. (Naibu Waziri) Dkt. Abdallah Possi
III. (Naibu Waziri) Antony Mavunde

4. Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi.


I. (Waziri) Mwigulu Lameck Nchemba
II. (Naibu Waziri) Willam Tate Ole Nasha
5. Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano.
I. (Waziri) - Bado hajateuliwa
II. (Naibu Waziri) Eng. Edwin Amandus Ngonyani
6. Wizara ya Fedha na Mipango.
I. (Waziri) - Bado hajateuliwa
II. (Naibu Waziri) Dkt. Ashantu Kijaji
7. Wizara ya Nishati na Madini.
I. (Waziri) Prof. Sospeter Mwijarubi Muhongo
II. (Naibu Waziri) Dkt. Medard Kalemani
8. Wizara ya Katiba na Sheria.
I. (Waziri) Dkt. Harrison Mwakyembe
9. Wizara ya Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki,
Kikanda na Kimataifa.
I.
(Waziri) Dkt. Augustine Mahiga
II.
(Naibu Waziri) Dkt. Susan Alphonce Kolimba
10.
I.

Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa.


(Waziri) Dkt. Hussein Mwinyi

11.
I.

Wizara ya Mambo ya Ndani.


(Waziri) Charles Kitwanga

12.
I.
II.

Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi.


(Waziri) William Lukuvi
(Naibu Waziri) Angelina Mabula

13.
I.
II.

Wizara ya Maliasili na Utalii.


(Waziri) - Bado hajateuliwa
(Naibu Waziri) Eng. Ramo Matala Makani

14.
I.

Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji.


(Waziri) Charles Mwijage

15.
I.
II.

Wizara ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi.


(Waziri) - Bado hajateuliwa
(Naibu Waziri) Eng. Stella Manyanya

16.
Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na
Watoto.
I.
(Waziri) Ummy Mwalimu
II.
(Naibu Waziri) Dkt. Hamis Andrea Kigwangalla

17.
I.
II.

Wizara ya Habari, Utamaduni, Wasanii na Michezo.


(Waziri) Nape Moses Nnauye
(Naibu Waziri) Anastazia James Wambura

Wizara ya Maji na Umwagiliaji.


I.
(Waziri) Prof. Makame Mbarawa
II.
(Waziri) Eng. Isack Kamwele
Mwisho
Gerson Msigwa
Kaimu Mkurugenzi Mawasiliano, IKULU
10 Desemba, 2015

You might also like