Professional Documents
Culture Documents
www.islamicftz.org
RAMADHAN 1436
MTIHANI MGUMU:
NANI ATAFAULU?
25 shabaan
Habari UK2
Head office, Lumumba Street, Opp: Viwanja vya Mnazi Mmoja, P. O Box 779 Dar es Salaam, Tanzania
Tell: 255 22 2182482/ 255 222184419, Fax: 255 22 2181424, E-mail: info@Binslum.com
nyakati za swala
Na. MJI ALFAJR
1
DAR ES SALAAM
11:16
2 ZANZIBAR
11:15
3 TANGA
11:17
4
MOROGORO
11:27
5
MTWARA
11:23
6
ARUSHA
11:22
7
DODOMA
11:27
8
MBEYA
11:43
9 KIGOMA
11:50
10
MWANZA
11:34
11 KAGERA
11:46
12 TABORA
11:39
13
SHINYANGA
11:36
14
SINGIDA
11:33
15 IRINGA
11:36
habari / tangazo
DHUHUR ASR
6:22
9:44
6:22
9:45
6:26
9:49
6:40
9:52
6:23
9:42
6:35
10:00
6:35
9:58
6:47
10:08
6:59
10:22
6:48
10:12
6:57
10:20
6:48
10:11
6:47
10:11
6:41
10:04
6:39
9:59
MAGHARIB
12:15
12:16
12:22
12:22
12:09
12:34
12:29
12:37
12:55
12:47
12:53
12:43
12:45
12:36
12:28
ISHA
1:25
1:26
1:32
1:32
1:20
1:44
1:39
1:47
2:05
1:57
2:03
1:53
1:55
1:46
1:38
www.islamicftz.org
Afyais natural
source of sweet
drinking water
from underground stream
which is blended
with essential
minerals to support and aid perfect metabolism.
WATERCOM LIMITED
P.o. Box 20409, Plot N.4005, Kisarawe11 area
Temeke,Daresalaam, Tanzania
www.watercomtz.com, E-mail:info@watercomtz.com
habari
www.islamicftz.org
JABAL NUUR Makkah, ndipo Quran ilipoanza kuteremshwa ndani ya mwezi wa Ramadhan.
NA MWANDISHI WETU
Swaumu ya
mwezi wa
Ramadhan
mwaka huu ni
mtihani mgumu
kwa Waislam
haswa wale
wanaojihusisha
na siasa za
uchaguzi,
hususan
wagombea au
wapambe wao
nchini.
Wage alisema, kongamano hilo
litafanyika katika shule ya sekondari Lamoon iliyopo Ilala karibu na
Machinga Complex, June14, 2015.
Alisema, katika kongamano
hilo, Sheikh Ibrahim Ghulam
kutoka taasisi ya Hayyatul Ulamaa
atawasilisha mada kuu ya Falsafa
ya mwezi wa Ramadhan.
Mohammed Wage alitaja shughuli zingine ambazo zinatarajiwa
kufanyika ndani ya mwezi wa Ramadhan na wanafunzi hao wa
vyuo vikuu kuwa ni pamoja na kusoma Quran, kusimama usiku na
kuhudhuria tarawehe, shughuli
ambazo zitaratibiwa na jumuiya
yake.
NA HAFSWA MADIWA
moja wa Wanawake wa
Kiislam Tanzania umeandaa mpango wa kutoa futari kwa ajili ya mwezi
mtukufu wa Ramadhan kwa familia za wahitaji kutoka katika kijiji
cha Mkamba (Kimanzichana) na
Muhaga (Kisarawe).
Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Umoja huo,
Ukhti Sophia Abdurrahman, lengo la mpango
huo utakaonufaisha familia zaidi ya 500 ni
kutafuta radhi za Allah, aliyesema katika
Quran: Wale watoao mali zao usiku na mchana kwa siri na kwa dhahiri,wana ujira wao kwa
Mola wao, wala haitakuwa khofu juu yao wala
hawatahuzunika(2:274).
Aidha, Mwenyekiti huyo pia alimnukuu
Mtume Muhammad (Rehma na amani ziwe
juu yake) aliyesema: Wahurumieni walioko
katika ardhi atakuhurumieni aliyoko mbinguni.
Ukhti Sophia alisema, wazo hili la kufuturisha vijiji viwili lilikuja baada ya kuona baadhi
ya Waislam hujitolea kufuturisha majumbani
kwao siku moja kwa gharama kubwa wakati
kiasi hicho kingeweza kutumika kufuturisha
familia nyingi zisizo na uwezo kwa muda mrefu.
Ukhti Sophia alisema, walichagua vijiji vya
Muhaga na Mkamba kwa sababu vijiji hivyo
vina wanakijiji wengi Waislam ambao hawana
uwezo wa kupata fedha ya kununua futari kwa
ajili ya swaumu ya mwezi wa Ramadhan.
Halikadhalika futari hiyo pia ni njia ya kukishukuru kijiji cha Muhaga kilichojitolea kuuzia Umoja huo eneo kubwa ili kujenga shule ya
bweni kwa ajili ya watoto yatima.
Ujenzi wa shule hiyo ni sehemu ya utekelezaji wa mpango wa umoja huo wa kupunguza
au kutokomeza kabisa tabia ya kuweka watoto
katika vituo vya kulelea watoto yatima, na
badala yake watoto hao warudi kwenye mikono ya wazazi na wapatiwe shule na malezi bora
hadi wafikie balehe.
Ukhti Sophia alisema, fedha za futari zinatarajiwa kupatikana kutoka kwa wanachama,
wafadhili na wadau mbalimbali.
Umoja huo pia umepanga kutoa semina
maeneo mbalimbali katika mwezi wa Ramad-
habari
www.islamicftz.org
han, ikiwa ni sehemu ya kazi zao za kila siku kuhakikisha kwamba inawainua wanawake kielimu na kiuchumi kwa kutoa vitabu mbalimbali elimu ya watu wazima,kufundisha ujasiria
mali pamoja na kutoa mikopo na kuwawezesha wanawake kufanya biashara mbalimbali.
Wakati huohuo, akizungumza katika kongamano liliofanyika hivi karibuni kwenye ukumbi wa DIT, jijini Dar es salaam, Mwenyekiti
wa taasisi ya TAQWA, Dk. Salha Mohammed
amesema kuwa, taasisi yake imepanga kufuturisha kaya 800 katika mwezi mtukufu wa
Ramadhan katika mikoa ya Pemba, Dar es salaam, Kisarawe, Mkuranga, Bagamoyo na Morogoro.
Dr.Salha alisema, taasisi yake imekuwa
ikitekeleza mpango huo tangu 2012, na
kwamba kila mwaka wamekuwa wakiongeza
maeneo mapya. Mwaka huu wameongeza
wilaya ya Mkuranga na kila familia moja kati
ya hizo 800 itapata futari ya thamani ya Tsh.
50,000.
Kwa mujibu wa Dr. Salha, walipoanza
mpango huo mwaka 2012 walilenga kusaidia
yatima waliotokana na vifo vya wazazi wao katika ajali za boti zilizoua watu zaidi ya 60. Alisema mwaka huo waliamua kuchangisha watu
na kupata wadhamini waliowezesha kufuturisha kaya 250 Pemba peke yake.
Mwaka 2013, taasisi hiyo ilipata wadhamini
zaidi waliowawezesha kufuturisha kaya 600
na pia kuongeza kuongeza wilaya nyingine
zikiwemo Kisarawe,Bagamoyo, Dar es Salaam
na Morogoro na kufuturisha kaya 600, wakati
mwaka jana walifanikiwa kufuturisha familia
749.
HAFSWA MADIWA
moja wa wanawake wa Kiislam wa Tegeta unaoundwa na wakina mama kutoka misikiti mitano ya eneo hilo wamejipanga kupeleka futari na daku mwezi
mzima wa Ramadhan katika hospitali ya Mbweni,
jijini Dar es Salaam. Habari hiyo nzuri imekuja wiki
tu kuanza kwa swaumu ya Ramadhan, ambayo ni
nguzo ya nne ya Uislam.
Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo, Ukt Nasra Mbaru alisema, umoja wao unajishughulisha na kutembelea na
kuombea dua wagojwa na kuhamasishana kusoma,
lakini mwezi wa Ramadhan wameamua kufuturisha
mwezi mzima wagonjwa na watumishi wa hospitali
hiyo ili kutafuta radhi za Allah.
Akielezea namna watakavyofuturisha na kulisha daku,
Ukhti Nasra aliongeza kuwa wanatarajia kutafuta mpishi wamlipe awe anapika daku ili iwe rahisi kwa wagonjwa na wauguzi wenye uwezo na wasio na uwezo
wa kufunga kujumuika na ndugu zao Waislam kupata
fadhila za mwezi mtukufu wa Ramadhan.
Ukhti Nasra pia alisema, wamekuwa wakihamasisha
muumini mmoja mmoja aangalie watu wasioweza
kununua futari ili awasaidie fedha au chakula.
www.islamicftz.org
makala/ tangazo
MASUALA MBALIMBALI
YANAYOAMBATANA NA SWAUMU
NA SHEIKH TAWAKKAL JUMA
penzi msomaji wa
gazeti la Imaan tukiwa tunamngoja
mgeni mtukufu,
Mwezi wa Ramadhan, mgeni ambaye kuingia kwake kumekaribia
ukaribu wa mfano wa pinde mbili
au chini yake, nakukaribisha katika makala haya yanayozungumzia
masala mbalimbali yanayohusiana na mgeni huyu mtukufu
anayekuja mara moja kila baada
ya siku mia tatu na ushee.
Makala haya yatakuwa katika
mfumo wa nukta muhimu ambazo zitamrahisishia msomaji
kupata hukumu mbalimbali;
Awali inatupasa kufahamu
kuwa Swaumu inapasa kwa moja
ya mambo mawili. Moja ni kwa
kuona mwandamo wa Ramadhan au kukamilisha siku thelathini za mwezi wa Shaaban.
Kuingia mwezi wa Ramadhan
huthibiti kwa mtu mmoja kuuona
mwandamo kama ilivyokuja katika hadith ya Ibn Umar iliyoripotiwa na Abuu Dawud. Ibn Umar
anasema: Watu walikuwa wakitafuta kuandama kwa mwezi.
Nikamjulisha Mtume kuwa mimi
nimeuonamwezi.Mtumeakafunga na akaamrisha watu wafunge.
ya kibaba.
Atakayezimia au akapatwa na
uendawazimu katika sehemu
kubwa ya mchana hali ya kuwa
usiku alinuia kufunga ikiwa
atazindukana walau sehemu ndogo kabla mchana kwisha Swaumu
yake inazingatiwa kisharia kuwa
ni sahihi lakini kama itatokea
hivyo mchana wote hapo saumu
yake itakuwa sio sahihi kisharia.
Tofauti na hukumu iliyotangulia hapo juu mtu aliyelala mchana wote Swaumu yake itakuwa
sahihi. Pamoja na hivyo hii sio
sababu wala hoja inayokubalika
kisharia mtu kupitwa na swala
kwa sababu ya kujilaza na kupitiwa na usingizi kwa kuwa eti amefunga; hasa hasa siku ambazo
kuna viamshaji vingi kama saa
zenye kengele za kuzindua wakati
alarms na adhana zinasomwa kwa
sauti kwenye vipaza sauti ambazo
aghlabu watu wote hushtuka zinaposomwa hata kama wako katika usingizi mzito.
Ikiwa mtu hajafahamu kuingia
kwa mfungo wa Ramadhan hadi
mchana ndipo mathalani akapata
habari na mfano wa huyu ni kama
mtoto aliyebalekhe mchana wa
Ramadhan au mtu aliyesilimu
Head office, Lumumba Street, Opp: Viwanja vya Mnazi Mmoja, P. O Box 779 Dar es Salaam, Tanzania
Tell: 255 22 2182482/ 255 222184419, Fax: 255 22 2181424, E-mail: info@Binslum.com
hutolewa na kuchapishwa
The Islamic Foundation,P.O.Box 6011 Morogoro, Tanzania,E-mail: imaanmedia3@gmail.com
mhariri mtendaji: 0715 559 944, Mhariri: 0786 779 669, afisa masoko: 0785 500 502
TOVUTI: www.islamicftz.org
tahariri / uchambuzi
katika Uislam hakuna kitu kinachoitwa Vunja jungu bali kinachotendeka ni ushawishi wa sheitani katika kuwahadaa wanadamu kutenda
maovu kwa kufahamu kuwa hatopata fursa hiyo ndani ya mwezi wa
Ramadhani kwa sababu za kuwekwa
kizuizini na Allah Taala.
Kwa kiasi kikubwa umma wa
Waislamu wa leo tumekuwa hatuna
shauku katika kuutendea haki mwezi mtukufu wa Ramadhani kinyume
na ilivyokuwa kwa Maswahaba wa
Mtume (Mwenyezi Mungu awaridhie).
Wao walikuwa wakimwomba
Mwenyezi Mungu awajaalie fursa ya
kushuhudia Ramadhan miezi sita
kabla. Waislam hatuna budi kuiga
mfano wa hawa wema waliotutan-
nasaha za RAMADHAN
NA YUSUPH AMIN
Mwandamo wa mwezi
usiwe chanzo cha faraka
baina ya Waislamu
Kuandama kwa mwezi ni miongoni mwa masuala yanayosababisha
Waislam kugawika katika makundi
yenye mitazamo tofauti, hususan kila
unapoingia Mfungo wa Ramadhan
na wakati wa kuingia sikukuu mbili za
Idd - ul-fitri na Idd ul-Hajj.
Makala hii ni jaribio la kutaka kulitolea ufumbuzi suala la mwandamo
wa mwezi, pia kujaribu kuonesha njia
ya kufuatwa na Waislam katika kufunga mwezi wa Ramadhan.
Allah Taala amejaalia watu wanaoifuata dini ya Uislam kuwa wenye
akili (ululalbab). Tunamuomba atuwezeshe kuielewa zaidi pamoja na
kuifuata njia ya haki (dini ya Uislamu).
Kama inavyofahamika katika historia ya Uislamu taarikh, Bwana
mtume (Rehma na amani ya Allah
iwe juu yake alifanya juhudi katika
kuleta umoja na udugu baina ya Waislamu mara tu baada ya tukio la hijra
kuhama Mji wa Makka na kwenda
Madina.
Kutokana na umuhimu huo, jamii
ya kiislamu inapaswa kuyatazama
mambo haya kwa kina. Inatulazimu
kumuiga bwana mtume kwa vitendo
kwa kujenga na kuimarisha mshikamano baina yetu ili kufanikisha lengo
la kuwepo kwetu hapa duniani.
Katika kutilia mkazo suala la umo-
Kwa bahati
mbaya mitazamo
hujengwa
juu ya misingi
ambayo si rahisi
kuibomoa na
inakuwa na
mizizi ambayo
vilevile si rahisi
kuingoa, hali
inayopelekea
ugumu wa
kumshawishi
mtu kukubali
mtazamo wa
wengine.
dhi ya dini.
Kadhalika, Waislam kutokana na
kufarikiana wanashindwa kusaidiana
kutokana na chuki za kimadhehebu
na kujengeana fitna na husda.
Suala la umoja ni miongoni mwa
mambo yaliyokokotezwa katika
Quran na Sunna na pia ndio silaha
gulia.
Kwa kweli maswahaba walijua
thamani halisi ya Ramadhani.
Wakati ambapo jamii ya kiislamu
katika zama zetu inachukulia kuwa
ni kawaida hali ya kuwa mwezi huja
mara moja kwa mwaka na wakati
huo huo unamalizika bila ya sisi kuchuma faida zake halisi.
Hivyo sisi katika gazeti la Imaan,
tunatumia fursa hii adhwimu kuwanasihi Waislam kujiandaa na
mfungo kwa kuzitakasa nafsi, kujiandaa kupata chumo la halali,
pamoja na kujiepusha na vitenguzi
vya ibada ya swaumu ili kujikurubisha kwa Allah Taala aweze kutulipa
yaliyo mema, hatimaye atuingize katika pepo yake.
makala
www.islamicftz.org
Swaumu ya Ramadhan:
IDDI JENGO
jamii.
Moja kati ya nguzo tano (5) za
Uislam ambazo hazijaeleweka kwa
Waislam wengi ni swaumu ya Ramadhan, ambayo ndio kiini cha
makala yetu ya leo.
Ili tuelewe swaumu ya Ramadhan ambayo ni nguzo ya nne ya Uislam, tuanze kwa kuangalia hadith
mashuhuri ambayo inapatikana
katika vitabu vingi vya hadith,
ikiwemo Bukhari na Muslim.
Imepokewa hadith kutoka kwa
Abdullah ibn Umar (Radhi za Allah
ziwe juu yake)amesema:Nimemsikia Mtume akisema: Umejengwa
Uislam juu ya nguzo tano; kushuhudia ya kwamba hakuna Mola
anayestahiki kuabudiwa kwa haki
isipokuwa Allah na kwamba hakika
Muhammad ni Mtume wa Allah,
na kusimamisha swala, na kutoa
zaka, na kufunga swaumu ya Ramadhan, na kuhiji katika nyumba
(tukufu) ya Al- Kaaba.(Al Bukhariy
naMuslim).
Kuna baadhi ya Waislam wameielewa vibaya hadith hii kuwa:
Uislam ni nguzo tano au kuwa
Uislam unakamilika na nguzo tano
tu. Kwa maana nyingine imeeleweka kwamba, nguzo tano
zikitekelezwa Uislam utakuwa
mungu ni mtu
Yeyote atakayeelewa lengo Mcha
wa aina gani?
la funga na maana ya lengo
Mchamungu ni mtu mwenye
na akajitahidi kwa hali
shauku, hamasa na jitahada ya kuyoyote kufikia lengo hilo
jiepusha na kila kitendo kiovu yeye
atakuwa mcha mungu katika binfasi na akajitahidi kuhakikisha
maovu hayo yanatoweka kabisa kakiwango kinachotakiwa,
tika jamii, kama Mtume alivyoagiza
lakini kwa asiyeelewa lengo katika hadith yake mashuhuri.
Mtume wetu mpenzi (Rehma
la funga hawezi kufikia
na amani ziwe juu yake) amesema
katika hadith iliyosimuliwa na
lengo la kuwa mchamungu.
AbuSaiyd Al-Khudriy(Radhi za
Allahziwe juu yake)ambaye amese-
ma:
Nilimsikia Mtumeakisema:
Yeyote yule atakayeona kitendo
kiovu basi akiondoe (akibadilishe)
kwa mkono wake, ikiwa hawezi basi
kwa ulimi wake (alikemee au kukataza), na ikiwa hawezi basi kwa
moyo wake (achukie) na huo (yaani
kuona baya na kunyamaza) ni udhaifu wa imani)(Muslim).
Na Allah Taala katika kutia
msisitizo anaeleza katika Quran:
Na Waumini wanaume na waumini wanawake wao kwa wao ni
marafiki walinzi. Huamrisha mema
na hukataza maovu, na hushika
Swala, na hutoa Zaka, na humtii
Mwenyezi Mungu na Mtume Wake.
Hao Mwenyezi Mungu atawarehemu. Hakika Mwenyezi Mungu ni
Mtukufu Mwenye nguvu, Mwenye
hekima (9: 71).
Zipo faida nyingi zinazopatikana
kutokana na mja kufunga swaumu
ya Ramadhan. Miongoni mwa faida hizo ni pamoja na kumjenga
mja kiimani. Mwenye kufunga Ramadhan huwa ni mchamungu
mwenye imani thabiti na imani ikijikita sawasawa basi jambo linalodhihiri ni mwanadamu kuwa
mwadilifu, kama ambavyo Quran
inavyotukumbusha
Enyi mlio amini! Kuweni wasimamizi madhubuti kwa ajili ya
Mwenyezi Mungu mkitoa ushahidi
kwa haki. Wala kuchukiana na watu
kusikupelekeeni kutofanya uadilifu.
Fanyeni uadilifu. Hivyo ndio kuwa
karibu mno na uchamungu. Na
mcheni Mwenyezi Mungu. Hakika
Mwenyezi Mungu anazo khabari za
mnayoyatenda (5:8).
Ukimuona mtu ana imani ya
kweli kipimo cha kwanza cha kujua
uthabiti juu ya imani yake ni kuangalia uadilifu wake.
Faida ya pili, ni kujenga udugu
wa kweli baina ya waumini wa Kiislam na kuzalisha mapenzi ya kweli
baina yao. Udugu huu ni udugu wa
kimataifa, maana Muislam wa Tanzania na Muislam wa Marekani
huwa wanafanya jambo linalofanana pasi na kujali utaifa,
rangi, wala jambo jingine lolote, na
ndo maana ikawa kwa Allah Taala
kipimo cha utu na udugu wa kweli
ni uchamungu.
Mkishikana kwa misingi ya rangi, taifa au kabila - udugu wenu
hautokuwa wa kudumu, bali walioshikana kwa udugu wa kiuchamungu ndo watadumu na udugu
huo, na utawafaa katika maisha ya
dunia na maisha ya akhera. Kwa
msingi huo swaumu ya Ramadhan
ikawa ni nguzo miongoni mwa nguzo za Uislam ambazo zinaleta udugu huo.
Hakika waumini ni ndugu, basi
patanisheni baina ya ndugu zenu,
na mcheni Mwenyezi Mungu ili
mrehemewe (49:09).
Enyi watu! Hakika Sisi tumekuumbeni kutokana na mwanamume
na mwanamke. Na tumekujaalieni
kuwa ni mataifa na makabila ili
mjuane. Hakika aliye mtukufu zaidi
kati yenu kwa Mwenyezi Mungu ni
huyo aliye mchamngu zaidi katika
nyinyi. Hakika Mwenyezi Mungu ni
Mwenye kujua, Mwenye khabari
(49:13).
Jengokeya 5@gmail.com
0714 135 201
Allah amrehemu
SHEIKH HASHIM A
kamilifu
wa
deed and a problem
hizi
ndizo
zinazoupa
ufunuo
wa YA SIMU 0
GHARAMA
YA HIJA
KWAbeen
MWAKA
2014/ 1435H
NI isiyoweza
WAKEZE
NA WATOTO
MTUME
(S.A.W.)
account of WA
the
state
of knowledge
in
NAMBA
na
sanaa
kulinganishwa
tears
and
ecstasy
has
almost
Quran
na
interest
to
every
DOLA 4750 TU AMBAZO ZINAWEZA KULIPWA KWA
NA MAKABURI
YA
WALIOKUFA
SHAHIDI
0784
915 008
his day. Such
considerations
Quran
nafasi yaare
kipekeena kumlazelimu
ya sasaVITA
server of the
destinies
AWAMU
(KIDOGO
KIDOGO). translaKATIKA
VYA UHUD
SHEIKH ABDALLAH
kama
Picktall
alivyoelezea
Kitabu
totally
ignored
by
previous
asepart of what
theINAJUMUI
Quranic RevAIDHA, GHARAMA YA KUFANYIWA IBADA YA HIJA
unatupelekea
VILE VILE GHARAMA
YAgives
HIJJA
IMAM
WA
imisha
mwanasayansi
mwenye
akili MSIKITI
(KUHIJIWA)
NI DOLA not
1450surprising
TU.
SHA ZIARA YA
MADINA
KUTEMBELEA
AL-HAJJ
ZULFIKAR
chake,
sauti
zake
huwafanya
watu
tors;
it
is
therefore
mpt
elation
its
unique
place,
and
forces
kutambua
a maneno hayo ni:
MASJID QUBA, MASJIDhuru
MASJID
0713 530 036, 078
akubali
kushindwa
kutoa
the
impartialQIBLATAIN,
scientist
to admit
his
uwiano
kati
yawawe
MALIPO
HIJA
YANAJUMUISHA
GHARAMA
JUMAA,
SABA
MASAAJID
(MAHALI
KULIPO
hisia YA
watokwe
na
machozi
na
na
that
what
they
have
wrought
sounds
AL-HAJJ HAFIDH S
ekazi
of inayoibua
ZIFUATAZO:
tomaelezo
provide anNA
explanation
viwili FANYIKA
hivi
VITAinability
VYA KHANDAQ),
0682
aonekana kama
hazijuu
ya
fikra
ya
ulazima
wa535 319
andNAULI
YA NDEGE
KWENDA NA KURUDI
JABAL UHUD.
hisia
kali,
jambo
ambalo
halikuzindull
flat
indeed
in
comparison
uce
SHEIKH HARUNA J
kama
which
calls
solely
upon
materialistic
uonekano wanje, hata
MALAZI MAKKA, HOTELI YA NYOTA 3*,
ilivyowahi
GHARAMA YA UCHINJAJI
WA MNYAMA
0715 985 413
reasoning.kutegemea akili tu.
na wafasiri
waliopita;
hivyo
KUTEMBEA
DAKIKAgatiwa
7 TU
thenaMWENDO
splendidlyWA
decorated
origieptWA UDHHIYA
AL-HAJJ ALTAF AB
wa mbali,with
kiwakati
MPAKA MASJID HARAM.
kuonyeshwa
CHAKULA MILOMaana
MITATU
KUJIHUDUMIA
yake
ni: Ulinganishi
ka-tu ya kauli za0789
Hizi
ni
baadhi
was-373 222
ithe
ambayonal.
haivamii
tu
ni3*
jambo lisiloshangaza
AL-HAJJ OMAR AW
mara MWENYEWE
kwa kuwa walimilifu
wa
Quran
elimu
maji ambayo anaweza
MWENDO WA KUTEMBEA DAKIKA 3 TU
WA QIBLATAIN - 0
omikutambua
wakubwa
kuelezeamshangao
mara.SAFARI.
ukilinganisha
Tafsiri:
Katika
kujitahidi
kujar- chofanya kinachosha
unatupelekea
uwiano
bic
MPAKA
MASJID
NABAWY
ARUSHA: SHEIKH J
anapoanza
kuisoma,
SHEIKH HASHIM AHMED
RUSAGANYA,
SHEIKHJe mimi na wewe
TAYSEER STORE DU
kati
ya
viwili
hivi
kama
ilivyowahi
wao
juu
ya
Quran.
hubadilisha
hisia
hizi
na uzuri wa asili
yake
iliyopambwa.
kwangu
kukuza
kazi waliyofanudy ibu
(NI
UKWELI
USIOFICHIKA
KUWA KHIDMAT
JUMA
RAJAB
IKUSI NA
SHEIKH HARUNA
JUMANNE
NA NMB TAWI LA
kuonyeshwa
mara
kwa
mara.
Hii
mbaliZA
uzuri naKAPAMA
ufasaha waWATAKUWEPO
Quran,
undeniable
claim to rank
IMEKUWA
IKIANDAA
NYUMBA
wa mshangao,
mapen- rans
NA KUTOA
MWONGOZO
Quran
inatushangaza?
YA SIMU 0786 125
Naye
Bingwa
wainatufanya
Ki-WOTE.
watu
walionitangulia,
na
kutaka
ied yaISLAMIYA
na kutupelekea tuamini
MAHUJAJI
KARIBU
KABISA
NAliterary
MASJID
HARAM
NA Daktari
KWA
MAHUJAJI
WAKATI
0655 125 513
nimekuwa
katika
machungu
kujiamongst the
greatest
masmu, kazi kama
hii
lazMASJID NABAWY).
AL-HAJJ AHMED SALEH
AL-HAJJ
MOROGORO: AL-H
kuwaNAHDY
ni jambo(HAMAD)
lisilofikirika
kabisa
Dr.
Maurice
kutoa
kituterpieces
ambacho
kinaweza
the
funza mashairi
yake;
lughaOSMAN
yakeBucaille
tu (ZULLY)
of mankind...
This very faransa,
ni
zao la ajabu
kabisa
ZULFIKAR
AL HAJJ ALTAF ABDU-NAHDY(AHMADO
kwaVIONGOZI
mtu wa
wakati
wa Muham
USAFIRI
WA BASI
JEDDAH
inimitaMAKKA,
Itaendelea
LATIF
NA
AL
HAJJ
SIDIK
WENYE
UZOEFU
ukiachilia
ujumbe
wake
inaifanya
characteristic
feature
that
akili
ya
mwanadamu
0773
372 776
anasema:
A
totally
objective
examkuwa
kimetoa japo kwa
Ko- kukubalika
MAKKA
MADINA
WA MUDA MREFU mad
PIA awe
WATAKUWEPO
KUWAHUndiyo mtunzi wa
maneno
DODOMA & SINGI
MAHEMA
YENYE
VIYOYOZI
CONDI
IBADA
INAVYOTAKIWA.
MADAKTARI
DR.Fikra
HAJI
MULEBA, BUKOBA
Quran
nafasi
ya
kipekee
na
kumlazkama Picktall NA
alivyoelezea
KitabuYOTE MUHIMU YATAPATIKANA
totally ignored
by previous
translahur J. Arberry anaseMWENYEWE
(BUFFET)
CHAI,
KAHAWA,
MADAWA
MAULID ATHUMA
imisha mwanasayansi mwenye akili
JUISI,
MAJI NA
WAKATI
WOTE
WA SAFARI.
huwafanya
watu
tors;SODA,
it is therefore
notVITAFUNWA
surprising chake, sauti zake
ng the present attempt
(SNACKS) VITAPATIKANA MASAA 24, SIKU 5
WAWEZA KUWAULIZA
MAHUJAJI
WALIOWAHI
huru akubali
kushindwa
kutoa
watokwe na machozi
na wawe
na
that what they
have wrought soundsMSIKITI
KATIBU M
n the
performance
ZIARA
YA ofZA
MADINA
KUTEMBELEA
KWA
MAELEZO
ZAIDI
NA
UANDIKISHAJI
HIJJA
KUHUDUMIWA
NA TAASIS
HII, NA
WATAKUHAKIKmaelezo
juu
ya
fikra
ya
ulazima
waMUHSIN
MOHA
produceUSAFIRI
WA
BASI
KATI
YA MAKKA
hisia
MINA,
kali, jambo
ambalo
halikuzindull and
flat
indeed
in comparison
ISHIA
UWEPO
WA
HUDUMA
ZA
KURIDHISHA.
sors,WA
and to
MTUME
(SAW),
MAKABURI
YA
BAQII
WASILIANA NA:
MINA
the
ARAFAT,
ARAFAT
MUZDALIFA,
kutegemeaKHIDMAT
akili tu.
ALHAMDULILAH
DAIMA
ISLAMIYA
0784 /0715 /07
gatiwa
na
wafasiri
waliopita;
hivyo
with
splendidly
decorated
origihich(WALIPOZIKWA
might be acceptMASWAHABA,
BAADHI
YA
SHEIKH
HASHIM
AHMAD
RUSAGANYA
MINA MAKKA
TUMEWEZA
KUTEKELEZA
TUNACHOKIAHIDI.
HiziKILA
ni baadhi
tu ya kauli za wasTAARIFA
M
ni jambo lisiloshangaza kuwaNAMBA
walinal.(IHRAM)
g however
faintly
the
NGUO
KWA
WANAUME
NA
WAKEZE
NA
WATOTO
WA
MTUME
(S.A.W.)
KUFUATANA
NA SHERIA
YA
SIMU
0715
915
008,
omiHUJAJI
wakubwa
kuelezea mshangao
KUFUATANA
NA SHERIA
HIJAB
KWA
WANAWAKE,
GALONI
TAHADHARI:
NDUGU
MTARAJIWA
FANYA
chofanya
kinachosha
ukilinganisha
Tafsiri:
Katika
kujitahidi
kujarTAREHE
YA
MWISHO
YA
toric
of
the
Arabic
NA MAKABURI
YA
WALIOKUFA
SHAHIDI
0784
915
008
TAREHEYA
YAMAHUJAJI
MWISHO KWA
YA K
MOJA
YA MAJI
YA ZAM
(LITA 10)na uzuri wa asiliUCHUNGUZI
WA KINA
YA KUJISAJILI
KWANI
waoKABLA
juu
ya Quran.
Je mimi na
wewe
MAJINA
yake
iliyopambwa.
ibu
kukuza
kaziZAM
waliyofanbeen
at pains toVITA
study
KATIKA
VYA
UHUD
MAJINA
KWA
BEGI
LAkwangu
KUSAFIRIA,
PAMOJA
NA KILO 3 ZA
SHEIKH
ABDALLAH
MOHAMED
JUMA
YA MAHUJAJI
IBADA HII NI MOJAWAPO
YA NGUZO
TANO ZA
MWAKA
HUU NI TAREHE
Quran
inatushangaza?
Naye Daktari
Bingwa
wa
Ki- HAKIKISHA
ya watu
walionitangulia,
kutaka
e and
richly
varied
MWAKA
NI TAREHE
TENDE
KWA
KILA
UISLAM
KWA
HIYO
UNAITEKELEZA
INATAREHE
20 SH
VILE
VILE
GHARAMA
YA HUJAJI
HIJJA na
INAJUMUI
IMAM
MSIKITI
WA
MTORO
0713 445
545HUU
TAREHE 20 SHA
ZIARA
YA
MAKKA
KUTEMBELEA
NYUMBA
VYOTAKIKANA
KWA
NAFASI
ULIYOJAALIWA,
faransa,
Dr.
Maurice
Bucaille
kutoa
kitu
ambacho
kinaweza
ich SHA
- apartZIARA
from theYA MADINA KUTEMBELEA
objective
AL-HAJJ
ZULFIKAR
0777 411
020,WOTE MNAOM
ALIKOZALIWA MTUME WETU
KWANI
HUJUI
KAMA
UTAIPATA
TENAOSMAN
NAFASI HIYO
MAHUJAJI
Itaendelea
anasema: A totally
examkukubalika
kuwa
kimetoa
japoHIRA,
kwaMASJID
f - constitute
theQUBA,
KoMAHUJAJI
WOTE MNAOMB
MUHAMMAD
(S.A.W),
JABAL
MAISHANI
MWAKO.
NDUGU
MUISLAM
MASJID
MASJID
QIBLATAIN,
ILI KUWA NA UHAKIKA
0713
530
036, 0786
411KAMA
020
JABAL
THAWR, JABAL
RAHMA, KULIPO
JUMAA, SABA
MASAAJID
(MAHALI
MASJID
JINNI, MASJID
KHEIF,
FANYIKA VITA
VYA
KHANDAQ),
NA ARAFAT,
MASJID
NIMRAH,
VIWANJA VYA
MINA, MUZDALIFA NA JAMARAT
JABAL UHUD.
GHARAMA
YA UCHINJAJI
WA MNYAMA
OEFU
ZIARA
YA MADINA KUTEMBELEA
MSIKITI
A NA
WA UDHHIYA
WA MTUME (SAW), MAKABURI YA BAQII
UWA
(WALIPOZIKWA
MASWAHABA,
BAADHI YA
CHAKULA MILO
MITATU
KUJIHUDUMIA
5H NI
WAKEZE NA WATOTO WA MTUME (S.A.W.)
MWENYEWE
(BUFFET)YASIKU
ZOTE SHAHIDI
ZA
KWA
NA MAKABURI
WALIOKUFA
KATIKA VITA VYA UHUD
SAFARI.
HIJA
GHARAMA
YA UCHINJAJI WA MNYAMA
MAHUJAJI WAKATI
WOTE.
U
WA UDHHIYA
HAJJ AHMED
SALEH
(HAMAD)
AL-HAJJ
CHAKULANAHDY
MILO MITATU
KUJIHUDUMIA
*IKAR OSMANMWENYEWE
(BUFFET)
ZOTE ZA
(ZULLY) AL
HAJJSIKU
ALTAF
ABDU-U NA AL HAJJ SIDIK
SAFARI.VIONGOZI WENYE UZOEFU
MUDA MREFU
PIA WATAKUWEPO
KUWAHUSHEIKH HASHIM
AHMED RUSAGANYA,
SHEIKHMAT
JUMA RAJAB IKUSI NA SHEIKH HARUNA JUMANNE
IAZAMAHUJAJI
KAPAMA WATAKUWEPO NA KUTOA MWONGOZO
GO
NI KUHAKIKISHA
HUJAJI
M NA
KWA MAHUJAJI KILA
WAKATI
WOTE. ANATEKELEZA
AL-HAJJ AHMED SALEH
NAHDY (HAMAD)
AL-HAJJ
A YAKE INAVYOTAKIWA.
MADAKTARI
DR.
HAJI
OSMANTHEREYA
(ZULLY) AL (
HAJJ
ALTAF ABDUDU NA ZULFIKAR
DR.
HAMISA
DAKTARI
WALATIF NA AL HAJJ SIDIK VIONGOZI WENYE UZOEFU
A MAMA)
WATAKUWEPO
KATIKA MSAFARA
WA MUDA
MREFU PIA WATAKUWEPO
KUWAHU-)MADAWA
DUMIA
MAHUJAJI
YOTE
MUHIMU
YATAPATIKANA
LENGO NI KUHAKIKISHA KILA HUJAJI ANATEKELEZA
ATI WOTE
WAYAKE
SAFARI.
IBADA
INAVYOTAKIWA. MADAKTARI DR. HAJI
TI
HAMDU
NA DR. HAMISA
THEREYA
( DAKTARI WA
WEZA
KUWAULIZA
MAHUJAJI
WALIOWAHI
A
AKINA
MAMA)
WATAKUWEPO
KATIKA
MSAFARA
UDUMIWA
TAASIS
HII, MUHIMU
NA WATAKUHAKIK,
NA NA
MADAWA
YOTE
YATAPATIKANAA UWEPO
WA
HUDUMA
WAKATI
WOTE
WA SAFARI. ZA KURIDHISHA.
KU 5
WAWEZADAIMA
KUWAULIZA
MAHUJAJI WALIOWAHI
AMDULILAH
KHIDMAT
ISLAMIYA
KUHUDUMIWA NA TAASIS HII, NA WATAKUHAKIK-EWEZA
KUTEKELEZA
KILA
TUNACHOKIAHIDI.
INA,
ISHIA UWEPO WA HUDUMA ZA KURIDHISHA.
A,
AL-HAJJ
0655 616 623,
UWEZO
ULIONAO
LEO HAFIDH
WA AFYA SALIM
NA MASURUFU
UTAENDELEA
KUWEPO
0682
535 NA
319PIA UJUE GHARAMA
NAZO
KILA MWAKA.
ZINAONGEZEKA
SHEIKH HARUNA
JUMANNE KAPAMA
0715
985
KWA MAELEZO
ZAIDI
NA413
UANDIKISHAJI
WASILIANA
NA:
AL-HAJJ
ALTAF ABDULLATIF AHMED
SHEIKH
HASHIM
0789
373AHMAD
222 RUSAGANYA
NAMBA YA SIMU 0715 915 008,
0784AL-HAJJ
915 008 OMAR AWADH KHAMIS - MSIKITI
SHEIKH
ABDALLAH
MOHAMED
JUMA
666
WA
QIBLATAIN
- 0715
210
IMAM MSIKITI WA MTORO 0713 445 545
ARUSHA:
SHEIKH
JUMA
RAJAB
IKUSI
AL-HAJJ
HAFIDH
SALIM
623,
NA
NMB
TAWI 0655
LA 616 SOKO
KUU NAMBA
0682 535 319
YAHARUNA
SIMU 0786
125KAPAMA
512, 0767 125 513,
SHEIKH
JUMANNE
07150655
985 413
125 513
AL-HAJJ
OMAR AWADH KHAMIS0715
- MSIKITI
NAHDY(AHMADO)372 776,
WA QIBLATAIN
0715
210
666
0773
372 JUMA
776 RAJAB IKUSI
ARUSHA:
SHEIKH
TAYSEER
DODOMA
& SINGIDA:
AL-HAJJ YUNUSU
STORE DUKA
NO.12 MKABALA
NA NMB
TAWI LA
SOKO
KUU334
NAMBA
RUGEIYAMU
0754
400,
YA SIMU 0786 125 512, 0767 125 513,
0786
293
901
0655 125 513
MOROGORO:
AL-HAJJ
AHMED SALEH
DODOMA
& KONDOA:
SHEIKH ESMAIL H.
NAHDY(AHMADO)0715
372683
776,
ALLIY
0713
677
0773 372 776
MULEBA,
BUKOBA
DAR AL-HAJJ
DODOMA
& SINGIDA:
AL-HAJJ &
YUNUSU
RUGEIYAMU
0754
334
400,
MAULID ATHUMAN KYEJU 0655 883 573
0786 293 901
MULEBA, BUKOBA
& DAR MTENDAJI
AL-HAJJ
MAULID ATHUMAN KYEJU 0655 883 573
MUHSIN MOHAMED HUSSEIN
0784 MTENDAJI
/0715 /0773 - 786 680,
KATIBU
MUHSIN MOHAMED HUSSEIN
TAARIFA
0784 /0715
/0773
- 786MUHIMU
680,
KUFUATANA
NA SHERIA
MPYA NCHINI SAUDIA,
TAARIFA
MUHIMU
TAREHE
YA
MWISHO
YA KUJISAJILI
NA KUTUMA
KUFUATANA
NA
SHERIA
MPYA NCHINI
SAUDIA,
TAREHE
YA
MWISHO
YANA
KUJISAJILI
NA KUTUMA
KUFUATANA
NA
SHERIA
NCHINI
SAUDIA,
TAREHE
YA MWISHO
YA MPYA
KUJISAJILI
KUTUMA
MAJINA
YA
MAHUJAJI
KWA
NJIA
YA MTANDAO
KWA
TAREHE
YAMAHUJAJI
MWISHO
YA KUJISAJILI
NA NJIA
KUTUMA
MAJINA
YA
KWA
NJIA
YA MTANDAO
KWA
MAJINA
YA
MAHUJAJI
KWA
YA
MTANDAO
KWA
MWAKA
HUU
NI
TAREHE
8
JUNI2015
SAWA
NA
MAJINA
YA MAHUJAJI
KWA NJIA
YA MTANDAO
KWA
MWAKA
HUU NI TAREHE
JUNI2015
SAWA NA
MWAKA
NI88TAREHE
8 JUNI2015
MWAKA
HUU
NIHUU
TAREHE
JUNI2015
SAWA
NA 1437SAWA NA
TAREHE
201437
SHAABAN
TAREHE
20 SHAABAN
TAREHETAREHE
20 SHAABAN
20 1437
SHAABAN 1437
MAHUJAJIWOTE
WOTEMNAOMBWA
MNAOMBWAKUJISAJILI
KUJISAJILIMAPEMA
MAPEMA
MAHUJAJI
MAHUJAJI
WOTE
MNAOMBWA
KUJISAJILIMAPEMA
MAPEMA
ILI
KUWA
NA
UHAKIKA
WA
SAFARI
YA
HIJJA
MAHUJAJI
WOTE
MNAOMBWA
KUJISAJILI
ILI KUWA NA UHAKIKA WA SAFARI YA HIJJA
ILIKUWA
KUWANA
NAUHAKIKA
UHAKIKAWA
WASAFARI
SAFARIYA
YAHIJJA
HIJJA
ILI
makala/tangazo
www.islamicftz.org
Adabu za funga
5. Kuharakisha kufuturu
Pichani juu
ni uzinduzi
wa gazeti
jipya la
Kiislamu
(IQRA)
uliofanyika
wiki
iliyopita
katika
msikiti wa
Mtambani
jijini Dar es
Salaam.
Chini,
mhariri wa
redio
Imaan,
Kassim
Lyimo
akiwa
katika moja
ya semina
za mafunzo
ya ndani
kwa
watendaji
Imaan
Media.
BY
P O Box 20831
Dar Es Salaam
Tel: +255 22 2125 312/2119 247
Fax: +255 22 2125 317 / 8
E Mail:oilcom@oilcomtz.com
12
makala
www.islamicftz.org
UMUHIMU NA NAMNA
BORA
YA
KULA
DAKU
Swaumu ni tiba MUJARABU ya
maradhi mengi ya binadamu D
Funga na afya
SHEIKH TAWAKKAL JUMA
Aya hii
imetaja neno
taqwa kama
lengo kuu la
kufaradhishwa
Swaumu. Taqwa
ni neno la
kiarabu lenye
maana ya kinga.
Taqwa ni kinga
ya moto ikiwa
na maana ya
kutii maamrisho
ya Allah
na kuepuka
makatazo ya
Allah. Taqwa ni
Ucha Mungu.
vyote viwe vimefunga au vimejizuia na madhambi. Hivyo ulimi,
macho, masikio, mikono, miguu
na viungo vingine vyote navyo vinatakikana vifunge.
Vinginevyo mwenendo hasi wa
viungo hivi kama kuviingiza katika
maasi yanayoletwa mathalani na
ulimi kama vile kusengenya huleta
athari mbaya kiafya, badala ya kuimarisha mfumo wa kinga hubomoa mfumo huo. Ndiyo maana
Mtume akatahadharisha sana mtu
kusema uongo akiwa amefunga
kwani si jambo linaloharibu tu
Swaumu yake bali ni jambo linalodhuru afya ya mfungaji.
Hii yawezekana ni moja kati ya
mambo yanayokusudiwa na
maneno ya Mtume aliposema asiyeacha uongo na kuufanyia kazi
uongo Allah hana haja na kuacha
kwake kula na kunywa (Allah hana
haja na funga ya mtu huyo).
Miongoni mwa faida za kiafya
za Swaumu ni kuwa Swaumu
humkinga mfungaji na maradhi
ya kunenepa kulikokithiri (obesity)
na athari zake. Kunenepa mno sio
afya njema kitiba. Utaratibu
mbaya wa kula au kula ovyo ni
moja kati ya sababu zinazoleta
ugonjwa huo.
Kuna watu tabia zao za ulaji ni
kama za panzi au zaidi. Panzi hula
mfululizo hadi akasinzia katika
majani na hushiba mpaka shingoni. Wako watu pia mwaka mzima
anakula mfululizo tena sahani zilizojaa toplea kama wanavyoita
wenyewe; asubuhi sahani imejaa
kama mlima Uluguru, mchana
imejaa kama mlima Kilimanjaro,
na usiku imejaa kama mlima Everest.
Na kati ya nyakati za kula mili-
makala
www.islamicftz.org
13
JAMAL ISSA
Tutafute chumo
la halali ndani
ya Ramadhan
kwa wingi ili mpate kufanikiwa
(62:10).
Pia alisema: Hakuna hali ambayo ningependa kufa mbali na jihad
kwa ajili ya Allah zaidi kama kifo
kingenijia wakati nasafiri na ngamia
wangu (kwa ajili ya biashara),
kutafuta riziki kwa fadhila za Allah.
Na akasoma na wengine wanasa-
Wafanya biashara wanatakiwa waliache soko lipange bei kwa uwiano wa usambazaji/upatikanaji wa bidhaa (supply) na mahitajio (demand).
Kwa wafanya biashara, mwezi wa Ramadhan ni mwezi wa kujifunza kwa vitendo kuwa wa kweli kwenye biashara
zao kwa kuuza bidhaa bora bila ya kuchakachua, kuwepo utapeli wa kuficha madhara au ubovu wa bidhaa au huduma.
Ni mwezi wa kujifunza kwa vitendo
kuwa waadilifu katika vipimo kama wao
wanavyotaka kufanyiwa uadilifu bila ya
kupunjwa wakati wakinunua. Allah
anasema: Ole wao hao wapunjao! Ambao wanapojipimia kwa watu hudai watimiziwe. Na wao wanapo wapimia watu
kwa kipimo au mizani hupunguza.
Kwani hawadhani hao kwamba watafufuliwa (84:1-4).
Ni mwezi wa kutizama upya biashara
inayofanywa ni halali au si halali. Kutathmini namna biashara inavyoendeshwa
ni muhimu sana kwani wakati mwingine
biashara ni halali lakini namna inavyoendeshwa si halali kwani kanuni na
taratibu za uendeshaji hazizingatii mipaka ya Allah. Ni mwezi wa kujifunza ku-
bin Affan, Abdulrahmani bin Auf (Allah awawie radhi) na wengineo katika
maswahaba jinsi walivyochuma na
kutumia vizuri katika kuusimamisha
Uislamu. Ni mwezi wa kutathmini
kwa kiwango gani biashara yako imesaidia dini na kupanga vipi itasaidia
dini ya Allah. Ni mwezi wa kujisafisha
na ubinafsi na choyo.
Allah anasema: Basi mcheni
Mwenyezi Mungu kama mUwezavyo,
na sikieni, na tiini, na toeni, itakuwa
kheri kwa nafsi zenu. Na mwenye kuepushwa na uchoyo wa nafsi yake, basi
hao ndio waliofanikiwa. Mkimkopesha Mwenyezi Mungu mkopo mzuri,
atakuzidishieni maradufu, na
atakusameheni. Na Mwenyezi Mungu
ni Mwingi wa shukrani, Mpole
(64:16-17).
Ramadhan ni mwezi wa kujifunza
kutoa huduma bora kwa wateja kwa
ukarimu.
Wafanya biashara watumie fursa ya
Ramadhan vizuri kuboresha huduma
zao, kutathmini mchango wa biashara
zao katika dini ya Allah na maendeleo
ya jamii kwa ujumla.
14
makala
www.islamicftz.org
Wanawake na Ramadhan
NA MWANDISHI MAALUM
Makosa yanayofanywa
na wanawake katika
Ramadhan
Dada yangu katika imani, pamoja na Uislam kutokumzuia mwanamke kwenda msikitini kwa hadith:
Msiwazuie waja wa kike wa Allah
kwenda misikiti ya Allah (Bukhari),
inakupasa kujua kuwa kutoka kwako kwenda kuhudhuria swala ya
jamaa si wajibu kama ilivyo kwa wanaume kiasi kwamba utoke nyumbani kwako, upande gari na kusafiri
kilometa kadhaa kufuata swala ya
Isha na Tarawehe.
Tatu, michanganyiko baina ya
wanawake na wanaume wakati wa
kutoka msikitini usiku. Kama mwanamke atahudhuria swala ya Ishai
na Tarawehe, basi afanye haraka
kutoka msikitini kabla ya wanaume
kuanza kutoka.
Na katika hili, maimam wa
misikiti wawahimize wanawake
kuanza kutoka msikitini na wanaume kuchelewa kutoka. Hii ni
kwa sababu Mtume (Rehma na amani ziwe juu yake) alipowaona wanawake wakichanganyika na wanaume majiani alisema: Kaeni nyuma, kwani hamtakiwi kupita katikati
ya njia, ni juu yenu kutembea pambizoni mwa njia (Abuu Dawud).
Nne, kosa jingine lifanywalo na
wanawake ni kuacha kufanya ibada
mbalimbali zinazoruhusiwa hali
wakiwa katika ada zao za mwezi au
nifasi. Wengi wa wanawake wakiwa
katika ada zao au nifasi hudhani
wamezuiliwa kufanya ibado zote,
kumbe si kweli.
Mwanamke akiwa katika ada
makala
www.islamicftz.org
makala maalum
15
IDDI JENGO
16
tangazo
www.islamicftz.org
makala ya kimataifa
www.islamicftz.org
17
inatoka Uk...9
Huko nyuma,
madakatari
walikuwa
wapingaji
wakubwa
wa kusaidia
wagonjwa
kujiua.
Jumuiya ya
madaktari
nchini
Marekani
iliwahi
kutoa tamko:
Daktari
kumsaidia
mgonjwa
kujiua ni
kinyume na
wajibu wake,
ambao ni
kumsaidia
mgonjwa
kupona.
la sasa umeboreka.
Pengine somo kubwa zaidi
nililoondoka nalo kutoka
kwenye swaumu ni kujenga uwezo wangu wa kuidhibiti nafsi
na kujenga huruma kuhusu
wale ambao hawana hiari ya
kutokula kwa sababu hawana
kitu cha kula.
Kutokana na fikra tulizobadilishana na Waislam na
uelewa wangu mdogo baada ya
kufunga siku tatu tu, nilitafakari
na kujua kwa nini Ramadhan ni
mwezi muhimu na wa kipekee.
Ramadhani ni mwezi wa
mageuzi makubwa ya nafsi kwa
sababu ya juhudi za kuendelea
azifanyazo mfungaji na hisia za
lengo maalum la swaumu.
Twaweza kujaribu kila uchao
kuelezea imani zetu kadiri tuwezavyo kupitia matendo yetu.
Lakini sisi ni binadamu;
tunaweza kushindwa na kwa
hakika hufeli. Kilicho cha kushangaza kuhusu Ramadhan, kati
ya miezi 12, nadhani ni mwezi
ambao ndani yake mtu hupata
fursa ya kujitafakari, kuangalia
juhudi za nyuma, mwaka mzima na kuangalia afanye nini
mwaka ujao.
Pengine kule kufunga swaumu, kujumuika kama jamii, kubadilishana uzoefu na udhibiti
wa nafsi upatikanao ndani ya
Ramadhan hutoa msaada unaohitajika sana kumbadili mtu.
Najua kwamba nitauhitaji
msaada huu siku za mbeleni.
Kwa hiyo hii imekuwa mara
yangu ya kwanza kufunga swaumu ya Ramadhan na nataraji
haitokuwa mara ya mwisho
kwangu kujikuta nikifunga
swaumu ya Ramadhan.
Wako wasiokuwa Waislam
wanaodiriki kufunga japo kwa
nia ya kujifunza kama huyu, je
ni Waislam wangapi siku hizi
wanaacha kufunga?
Mfasiri wa Makala haya
Sheikh Mohammed Issa, amefuatilia iwapo Charllote alisilimu bila mafanikio.
Ukarimu na kuisoma
Quran
18
Muda
vipindi /ushairi
www.islamicftz.org
vipindi TV imaan
Muda
TIME
DURATION
TIME
S/No:
Kipindi
DURATION
PROGRAM
PROGR
S
1
11:00 .11:05
.11:05
05 min
05 min
Adhana
ya Alfajir
Adhana
ya Alfajir
1
06:00
106:20
06:00
06:20
20MIN
2
11:05 .11:30
.11:30
25 min
06:20
06:35
15MIN
07:00 707:20
07:00
07:20
20MIN
Sheikh:
DIRA20MIN
YA HABARIDIRA YA HABARI
REC
07:20 807:30
07:20
07:30
10MIN
10MIN
CHACHU YA DIRA
CHACHU
YA DIRA
LIVE
07:30 908:00
07:30
08:00
30MIN
30MIN
SUHUFA ZA MAGA
SUHUFA
ZA MAGAZETI
LIVE
10
10
08:00 10:00
08:00 10:00
2HR
MADA2HR
NYETI
11
10:00 11
11:00
10:00 1HR
11:00
1HR BARABARANI
USALAMA BARAB
USALAMA
MAR
13
11:04 13
11:35
11:04
11:35
31MIN
31MIN
MAWAIDHA
14
11:35
12:00
05 min
Adhana
ya Dhuhr
Adhana
ya 14
Dhuhr
11:35 25MIN
12:00
25MIN
BULUGHULMARA
BULUGHULMARAM
REC
Sheikh:
Sheikh:
3
11:30 .12:00
.12:00
30 min
4
12:00 .01:00
.01:00
1 hr
1 hr
Nasaha za asubhi
Nasaha
za asubhi
06:35
06:45
10MIN
5
01:00 .01:20
.01:20
20 min
Dira20
yamin
habari/Dira ya habari/
6
01:20
.04:00
.04:00
3 hrs
40 min
3 hrs 40
Majlis ya tv Imaan
Majlis
ya min
tv Imaan
7
04:00 .05:00
.05:00
1 hr
hr Qur aan
Tafsir ya Qur aan
Tafsir1ya
8
05:00 .05:05
.05:05
05 min
05 min wa dira
Mukhtasar wa dira
Mukhtasar
9
05:05 .06:00
.06:00
55 min
55 min
Salaam za asubuhi
Salaam
za asubuhi
10
06:00 .06:45
.06:45
45 min
45 min wa Ulimwengu
wa Kiislaam
Ulimwengu
Kiislaam
1106:50 06:45 .
.
05 06:50
min
30 min 18
Tarjuma
13
07:20 .08:00
.08:00
40 min
20
40 min
Mimbar
zetu
18
12:14 12:24
Tarjuma
20
12:26
12:56
Mimbar
zetu
12:26 30
12:56
MIN
14
08:00 .09:00
.09:00
1 hr
1 hr 22
Mawaidha
13:00 22
13:13
Mawaidha
13:00
13:13
13MIN
15
09:00 .09:20
.09:20
20 min
14:45
25 Dira 14:00
25
14:45 14:00 45MIN
ya habari/matangazo
Dira20
yamin
habari/matangazo
16
09:45
25 min 26
Tauhiid
12
06:50 .07:20
.07:20
30 min
12:14 10MIN
12:24
Sheikh: ZA ASUB
Sheikh:
20MIN
NYIRADI
NYIRADI
ZA ASUBUHI
REC
Sheikh:
Sheikh:
15MIN
NASAHA ZA ASUB
NASAHA
ZA ASUBUHI
REC
Sheikh:i.T
waha
Sheikh:i.T
waha
10MIN
KILMA
KIZURI
KILMA
KIZURI
REC
Sheikh:
Mselem A
Sheikh Mselem Sheikh
Ally
REC
10MIN
ENGLISH
ENGLISH
LECTURE
REC
Sheikh: LECTUR
Sheikh:
30 MIN
NAFASI YA MWAN
NAFASI
YA MWANAMKE
REC
13MIN
LECTUR
ENGLISH
LECTURE
REC
Sheikh Nassor
B
Sheikh
NassorENGLISH
Bachu
45MIN
KUTOKA SHULEN
KUTOKA
SHULENI
REC
14:46 26
14:50
Tauhiid
14:46 4MIN
14:50
4MIN Mohammed
PROMO
PROMO
REC
Sheikh
Mohamm
Sheikh
Nduli
17
09:45 .09:50
.09:50
05 min
05 min
Adhana
ya al-asr
14:50
27
15:50
Adhana
ya 27
al-asr
14:50 115:50
HR
1 HR
Sheikh:NA TIBA
UISLAM
NA TIBAUISLAM
MAR
Sheikh:
18
09:50 .10:20
.10:20
30 min
30 min 29
Tarjuma
15:52
16:22
30MIN
Sheikh:
Sheikh:
30MIN
BUSATI
LA KISWA
BUSATI
LA KISWAHILI
REC
19
10:20 .11:00
.11:00
40 min
40 min 31
Kalima
16:24
16:55
30MIN
Sheikh
30MIN
QUR'AN
20
11:00 .11:20
.11:20
20 min
Dira20
yamin
habari/
TIME
S/No:
S/No: Dira ya habari/
09:20 25
09:45
min
21
11:20 .12:00
.12:00
40 min
Tarjuma
15:52 29
16:22
Kalima
16:24 31
16:55
40 min
Nasaha za washairi
Nasaha
za washairi
TIME
DURATION
Muda
Sheikh
QUR'AN
DURATION
PROGRAM
Kipindi
REC
PROGR
STA
35
17:11 35
17:33
17:11
17:33
30MIN
Ka
30MIN
SIMULIZI
ZA BIBISIMULIZI
ZAINAB ZA BIBI
REC
37
17:45 37
18:00
17:45
18:00
15MIN
15MIN
ANNASHEED
38
18:00 38
18:20
18:00
18:20
20MIN
20MIN
NYIRADI ZA JION
NYIRADI
ZA JION
REC
39
18:20 39
18:40
18:20
18:40
20MIN
DUA20MIN
+ ADHANADUA + ADHANA
REC
40
18:40 40
18:57
18:40
18:57
17MIN
17MIN
USIYO
Y
FAHAMU
USIYO FAHAMU
YAJUA
REC
42
19:00 42
19:30
19:00
19:30
30MIN
30MIN
MAWAIDHA
19:31 ya
20:04
40 min 44
Mafundisho
Qur aan
Mafundisho
ya Qur
aan
19:31
20:04
33MIN
33MIN
MAWAIDHA
MAWAIDHA
REC
Ust:Othmaan
Th
Ust:Othmaan Thabit
30
03:20 .04:20
.04:20
1 hr
31
04:20 .05:00
.05:00
40 min
32
05:00 .06:00
.06:00
1 hr
1 hr
Familia
33
06:00 .11:00
.11:00
5 hrs
22
12:00 .12:30
.12:30
30 min
30 minmasaaAdhkarul masaa
Adhkarul
23
12:30 .12:35
.12:35
05 min
05 min
Adhana ya Magharib
Adhana
ya Magharib
24
12:35 .01:00
.01:00
25 min
min
Qur25
aan
TukufuQur aan Tukufu
25
01:00 .01:45
.01:45
45 min
45 min
Nasaha marudio
Nasaha
marudio
26
01:45 .01:50
.01:50
05 min
05 min
Adhana ya Ishaa
Adhana
ya Ishaa
27
01:50 .02:20
.02:20
30 min
min
Qur30
aan
TukufuQur aan Tukufu
28
02:20 .03:00
.03:00
40 min
29
03:00 .03:20
.03:20
20 min
44
ANNASHEED REC
Sheikh:
Sheikh:
Sheikh:
Sheikh
Sheikh
Sheikh:
Sheikh:
22MIN
ALINGANIWE
Sheikh:
MAWAIDHA
Sheikh:
47 Dira ya
20:10
47
20:32
habari/
Dira20
yamin
habari/
20:10
20:32
22MIN
ALINGANIWEREC
50 Kipindi
20:40
-50
21:10
1 hr
maalum
Kipindi
maalum
20:40 30
- 21:10
MIN
30 MIN
SUHUFA ZA MAGA
SUHUFA
ZA MAGAZETI
MAR
40 min 51
Mawaidha
21:10 -51
23:10
Mawaidha
21:10 -2HRS
23:10
2HRS
MADA
NYETI
Sheikh:
52
23:15 -52
23:30
Familia
23:15 15
- 23:30
MIN
15 MIN
KABLA
HUJALALA
KABLA
HUJALALA
REC
Baba Kiruwasha
Baba
Kiruwasha
54aan
54 aan
06:00
5 wa
hrs Qur
Usiku23:30
wa Qur
Usiku
23:306:30HRS
06:00
6:30HRS
USIKU
WA QURAN
USIKU
WA QURAN
LIVE
Sheikh:
Sheikh:
MADA
NYETI MAR
Sheikh:
Mashairi ya Ramadhani
REC
watoto / tangazo
www.islamicftz.org
19
WATOTO NA RAMADHAN
NAHIDA ESMAIL
Ramadhan
ndio hii!
Fikiria kuhusu mambo ambayo unaenda kuyafanya Ramadhan hii. Jibu maswali yafuatayo:
1. Surah ninazotaka kujifunza kusoma na maana yake ni
...........................................................................................................
2. Nataka kutoa sadaka
...........................................................................................................
3. Nitaifanya Ramadhan hii kuwa mwezi bora kwa sababu
...........................................................................................................
4. Tia rangi picha ifuatayo...........................................................................
JIANDAE NA RAMADHAN
ZAHRA EBRAHIM
Zoezi
1.Kuna miezi mingapi katika kalenda ya Kiislam?
..................................................................
2.Ni upi mwezi wa tisa wa kalenda ya Kiislam?
..................................................................
3.Taja matendo matatu ya kiibada unayoyafanya.
..................................................................
Chora mti wa mtende na andika faida tatu za
kula tende
Mwanza
105.6 Mhz
Kigoma
Arusha
104.5 Mhz
Tabora
101.6 Mhz
92.5 Mhz
90.8 Mhz
Dodoma
104.5 Mhz
Moro
102 Mhz
104.5 Mhz
Dsm
Masafa ya Imaan FM
1
2
3
4
5
6
Daresalaam
Morogoro
Arusha
Mwanza
Kigoma
Tabora
104.5 Mhz
96.3 Mhz
90.8 Mhz
105.6 Mhz
92.5 Mhz
101.6 Mhz
7
8
9
10
11
12
Mbeya
Dodoma
Ruvuma
Mtwara
Zanzibar
Pemba
90.3 Mhz
102 Mhz
94.2 Mhz
90.9 Mhz
104.5 Mhz
104.5 Mhz
Mbeya
104.5 Mhz
104.5 Mhz
104.5 Mhz
Ruvuma
Mtwara
94.2 Mhz
90.9 Mhz
20
www.islamicftz.org
Mimi
si
Muislam,
lakini
Ramadhan
ilinibadili
Uk 17
25 Shaaban 1436, IJUMAA Juni 12 - 18, 2015
NA MWANDISHI WETU
hutolewa na kuchapishwa na The Islamic Foundation, P.O.Box 6011 Morogoro, Tanzania E-mail: imaanmedia3@gmail.com