You are on page 1of 2

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI


UCHAGUZI WA UBUNGE NA UDIWANI ULIOAHIRISHWA
KUTOKANA NA VIFO VYA WAGOMBEA
Tume ya Taifa ya Uchaguzi inawatangazia wananchi wote kuwa
Uchaguzi wa Ubunge na Udiwani katika Majimbo na Kata
ambazo hazikufanya Uchaguzi tarehe 25 Octoba 2015 kwa
sababu za vifo vya wagombea sasa Uchaguzi huu utafanyika
tarehe22 Novemba 2015; 13 Desemba, 2015 na 20 Desemba,
2015.
Majimbo,Kata
ifuatavyo:

na

tarehe

watazofanya

Uchaguzi

22 Novemba 2015
Na JIMBO
.
1. LUSHOTO
2. ULANGA MASHARIKI

MKOA
TANGA
MOROGORO

22 Novemba 2015
N
a
1.
2.
3.
4.
5.
7.
8.

KATA

HALMASHAURI

MULEBA
UYOLE
BUKENE
MSINGI
BOMANGOMBE
KASULO
BUKENE

MULEBA KUSINI
MBEYA MJINI
SHINYANGA
MKALAMA
HAI
NGARA DC
SHINYANGA DC

ni

kama

13 Desemba 2015
Na JIMBO
.
1. ARUSHA MJINI
2. HANDENI MJINI

MKOA
ARUSHA
TANGA

13Desemba 2015
N KATA
a
1. MVOMERO

HALMASHAURI
MVOMERO DC

20 Desemba 2015
Na JIMBO
.
1. LUDEWA
2. MASASI MJINI

MKOA
NJOMBE
MTWARA

- Vituo vya kupigia Kura ni vile vilivyotumika wakati wa


upigaji Kura za Urais Oktoba 25, 2015
- Vituo vitafunguliwa saa 1:00 asubuhi hadi saa 10:00 jioni.
- Wanaoruhusiwa kupiga Kura ni wale walio na kadi za Mpiga
Kura na wamo katika Daftari la Kudumu la Wapiga Kura.

IMETOLEWA NA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI

Kailima,R.K
MKURUGENZI WA UCHAGUZI

You might also like