You are on page 1of 3

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI


UCHAGUZI WA UBUNGE NA UDIWANI ULIOAHIRISHWA
TAREHE 25 OKTOBA, 2015
Tume ya Taifa ya Uchaguzi inawatangazia wananchi wote kuwa
Uchaguzi wa Ubunge na Udiwani katika Jimbo na Kata ambazo
hazikufanya Uchaguzi tarehe 25 Octoba 2015 kwa sababu
mbalimbali isipokuwa kifo, Uchaguzi huu sasa utafanyika
tarehe15 Novemba na tarehe 13 Decemba 2015.
Jimbo na Kata zitakazo husika ni kama ifuatavyo:
15 Novemba 2015
Na JIMBO
.
1. LULINDI MASASI DC

MKOA
MTWARA

15 Novemba 2015
N
a
1.
2.
3.
4.
5.
6.
7.
8.
9.
10
.
11
.

KATA

HALMASHAURI

KILOLENI
MALAMBO
NGARESERO
MIZIBAZIBA
TONGI
LUDETE
BUKULA
BUPAMWA
MWAMBANI
ITEWE

URAMBO DC
NGORONGORO DC

MKOLA

NZEGA DC
GEITA
RORYA
KWIMBA DC
CHUNYA DC

12
.
13
.
14
.
15
.
16
.
17
.
18
.
19
.
20
.
21
.
22
.
23
.
24
.
25
.

MBUYUNI
ISEBYA

MBOGWE DC

MATONGO

BARIADI DC

MAJENGO

KOROGWE DC

SONGWE

KILINDI DC

MKONGOBAKI

LUDEWA DC

MAHANJE

MADABA DC

KAGERA

KIGOMA UJIJI

MILEPA

SUMBAWANGA

RUJEWA

MBARARI DC

MAGAMBA

MPANDA DC

MKONGO GULIONI

NAMTUMBO

LISIMONJI
SARANGA

KINONDONI

13 Decemba 2015
N KATA
a
1. IPALA
2. NYAMILOLELWA

HALMASHAURI
DODOMA DC
GEITA DC

- Vituo vya kupigia Kura ni vile vilivyotumika wakati wa


upigaji Kura za Urais Oktoba 25, 2015
- Vituo vitafunguliwa saa 1:00 asubuhi hadi saa 10:00 jioni.
- Wanaoruhusiwa kupiga Kura ni wale walio na kadi za Mpiga
Kura na wamo katika Daftari la Kudumu la Wapiga Kura.

NB: Kumbuka Uchaguzi katika Jimbo la Kijitoupele Zanzibar


utafanyika baadaye.
IMETOLEWA NA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI

Kailima,R.K
MKURUGENZI WA UCHAGUZI

You might also like