You are on page 1of 1

CHAMA CHA MAPINDUZI

OFISI NOOGO YA MAKAO MAKUU

e-mail:katibumkuu@ccmtz.org

s. L. P. 9151 OAR ES SALAAM, TANZANIA, FAX: 022 - 2185245

__________________

Barua zote zipelekwe kwa Katibu Mkuu

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI


Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimemteua Ndugu Omary
Abdallah Kigoda kuwa mgombea ubunge wa Jimbo la Handeni
Mjini.
Ndugu Kigoda ameteuliwa kugombea nafasi hiyo ya ubunge
baada ya kushinda kura za maoni za marudio zilizofanyika
Novemba 03, 2015.
Imetolewa na:-

Nape Moses Nnauye,


KATIBU WA HALMASHAURI KUU YA TAIFA,
ITIKADI NA UENEZI
04/11/2015

You might also like