Professional Documents
Culture Documents
>
MARCIO MAXIMO AANZA KAZI KWA KUWAPA `NENO` WACHEZAJI WA
YANGA SC
MARCIO MAXIMO AANZA KAZI KWA
KUWAPA `NENO` WACHEZAJI WA
YANGA SC
Wachezaji wa Yanga sasa kuanza mazoezi chini ya Maximo Na Baraka Mpenja, Dar es salaam
KOCHA mpya wa Yanga sc, Mbrazil Marcio Maximo ameanza kazi leo kwa kufanya
mazungumzo na baadhi ya wachezaji wa klabu hiyo . Mkutano huo umefanyika makao makuu
ya klabu ya Yanga, makutano ya Twiga na Jangwani, Kariakoo, jijini Dar es salaam. Maximo
alipata nafasi ya kuwaeleza mipango yake ya kazi na kuwataka wachezaji waelewe umuhimu
wao katika kujenga mafanikio ya Yanga. Kocha huyo aliyewahi kufanya kazi nchini kwa
kuifundisha timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa...