You are on page 1of 2

FOMU MAALUM KWA VIKUNDI: Tafadhali bandika picha ya passport size ya Kiongozi wa Kikundi hapa

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

WIZARA YA HABARI VIJANA UTAMADUNI NA MICHEZO

FOMU MAALUM KWA VIKUNDI VYA VIJANA KWA AJILI YA KUOMBA MKOPO KUPITIA MFUKO WA MAENDELEO YA VIJANA 1.0 Maelekezo Fomu hii itajazwa na Kiongozi wa Kikundi cha Vijana kinachoomba Mkopo kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Vijana na kuwasilishwa kwa Afisa Vijana wa Wilaya. Viambatanisho vifuatavyo ni muhimu kwa ajili ya uhakiki wa kikundi na mradi: Barua ya Utambulisho kutoka Ofisi ya Mtendaji Kata (Igongwe muhuri) 2.0 Andiko fupi la Mradi (Project Write up) Nakala ya Katiba ya Kikundi (Kama ipo) Nakala ya Barua/Fomu ya usajili wa kikundi Taarifa fupi ya Kikundi Wasifu wa Kiongozi wa Kikundi (CV) Namba ya Utambulisho wa Mlipa Kodi (TIN) Picha mbili za rangi za Kiongozi wa Kikundi (iwe na Sahihi ya Mtendaji jina lake na sahihi yake kwa nyuma)

Taarifa za Kikundi I. II. III. Jina la Kikundi Jina la Kiongozi wa Kikundi na namba yake ya Simu Idadi ya wanachama.

3.0

Usajili wa Kikundi I. Mahali Kikundi kiliposajiliwa II. III. Mwaka Aina ya usajili (Weka alama ya vema jibu lililosahihi) Wa Muda Wa Kudumu IV Jina la SACCOS inayofanya kazi na kikundi hiki ..... Taarifa za Mradi I. II. III. IV. V. Aina ya Mradi .. Mwaka ulioanzishwa Mahali Mradi ulipo Kiasi kinachoombwa Utaratibu wa kurejesha mkopo wote na riba: kuanzia Mwezi..Mwaka Kumaliza ni MweziMwaka.

4.0

5.0

KWA AJILI YA MATUMIZI YA OFISI TU Baada ya uhakiki wa Kikundi na Mradi uongozi wa Wilaya, Mkoa na Taifa utajaza sehemu zifuatazo: Kikundi kinastahili kupewa mkopo A. Sehemu hii itajazwa na Afisa aliyeidhinishwa kutoka Halmashauri/Jiji/Mji/Manispaa/Wilaya

Jina la Afisa Cheo Halmashauri yaSahihiTarehe. Maoni B. Sehemu hii itajazwa na Afisa aliyeidhinishwa kutoka ofisi ya Katibu Tawala wa Mkoa Jina la Afisa......... Cheo..... Mkoa wa....................................................Sahihi.......Tarehe Maoni. C. Sehemu hii itajazwa na Afisa aliyeidhinishwa kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Jina la Afisa.. Cheo.. IdaraSahihiTarehe.......................... Maoni........................................................................................................................

You might also like